Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Naona kamkosea sana shilole wa watu alienda kwenye shughuli yake then kaenda kumkana Ili azalilike, what I know ma gentleman Hawa act tabia za Kiba
Huyu inawezekana hata heshima kwa wanawake hana.