PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Sahihi kabisa Mkuu.KIBURI NA MAJIVUNO NI MOJA YA VITU VINAVYOMPOTEZA KIBA
Jamaa hana washauri wazuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa Mkuu.KIBURI NA MAJIVUNO NI MOJA YA VITU VINAVYOMPOTEZA KIBA
Jamaa hana washauri wazuri
Sasa hizo dharau kwa kipi alichonacho? Hata ukiwa nacho dharau za nini? Mshamba sana.Kiba ana dharau za kijinga sana yule
Ndioo[emoji15][emoji15][emoji15]na huyo huyo Ali au?
Naona kamkosea sana shilole wa watu alienda kwenye shughuli yake then kaenda kumkana Ili azalilike, what I know ma gentleman Hawa act tabia za KibaSasa hizo dharau kwa kipi alichonacho? Hata ukiwa nacho dharau za nini? Mshamba sana.
Hafu huyo kiba bora alivokuwa kimya kumbe huwa ni mjinga hivi namshauri aendelee na ukimya huo maana akiongea anajizalilishaKipindi cha nyuma alizungumza dada yake
Afu Nuhu mziwanda akamshirikisha kwenye wimbo wa jike shupa.[emoji15][emoji15][emoji15]na huyo huyo Ali au?
Kwa watu wenye akili timamu na waliostaarabika aliyedharirika ni huyo Ali mpumbavu kabisa.Naona kamkosea sana shilole wa watu alienda kwenye shughuli yake then kaenda kumkana Ili azalilike, what I know ma gentleman Hawa act tabia za Kiba
DuhKinachomuuma Shilole alimtombea chooni walivokuwa kwenye Fiesta Mwanza kipindi hicho.Sasa kila akikumbuka roho inamuuma sana.
Nadhani wengi wameona upande mmoja wa stori baada ya shilole kupost lile gazeti lakini ukifuatilia shilole ndio aliyeanza dharau akiwa anahojiwa katika kipindi refresh cha wasafi akawa amemdiss Ali na Esha kwamba yeye ni mkubwa kuliko wao na hata listening part ya Ali yeye ndio kafanya imechangamka so alichofanya Ali ni ku backfire tu na obviously anayeanza haonekani ila anaonekana anayemalizaNaona kamkosea sana shilole wa watu alienda kwenye shughuli yake then kaenda kumkana Ili azalilike, what I know ma gentleman Hawa act tabia za Kiba
Unashindana vipi na mwanamke kama siyo uboya?Nadhani wengi wameona upande mmoja wa stori baada ya shilole kupost lile gazeti lakini ukifuatilia shilole ndio aliyeanza dharau akiwa anahojiwa katika kipindi refresh cha wasafi akawa amemdiss Ali na Esha kwamba yeye ni mkubwa kuliko wao na hata listening part ya Ali yeye ndio kafanya imechangamka so alichofanya Ali ni ku backfire tu na obviously anayeanza haonekani ila anaonekana anayemaliza
Ile sio kushindwana technical Ali anamwambia shilole apungeze shobo just a polite reminder 🤣🤣Unashindana vipi na mwanamke kama siyo uboya?
Huoni madhara yake hata tuliokuwa tunampenda tumemdharau?
Mjingamjinga tu.Ile sio kushindwana technical Ali anamwambia shilole apungeze shobo just a polite reminder 🤣🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we jamaa umenichekesha sana kwa comment yako hiiHao kina shilole na Ali kiba ndo kina Nani hapa mjini?
Umeandika kana kwamba kila mtu humu anawafahamu
😄[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we jamaa umenichekesha sana kwa comment yako hii
Pengine Shilole anataka attention kubwaSema kumbe hata humu kuna watu wana akili ka za Youtube tu za Tazama hapa Magufuli afufuka.
Kwa heshima ambayo shilole alipewa siku ya listening party na inavyojulikana shilole alishawahi kukiri kua yeye si shabiki wa Ali ila Ali hakuona vibaya akamualika Bidada na kuna watu wengi ambao si kampani ya Ali walialikwa kama Jux pia..Lakini alichokuja kukifanya Huyu Bidada kwenye Re-Fresh kusema anamzid Ali na yeye ni Brand ilihali mtu alikua amekualika hadu kwenye shughuli yake ilikua ni dharau kwa Ali,So alichofanya Ali nae ni kujifanya hamjui kua Alivizia kwenye Shughuli ile na kalikana naona leo lipo lina lialia kwenye vyombo vya habari vyote.
Kazingua kwa kweli watu watakuwa hawaendi shughuli zakeKwa watu wenye akili timamu na waliostaarabika aliyedharirika ni huyo Ali mpumbavu kabisa.
Kweli shishi huwa mropokaji ndio ila Mimi sikujua hyo event ya Ali Hadi nilipomuona shilole alipoitwa na kuongea na kiba akiwa anaona, tena shishi alishindwa kuvaa viatu video zake Zika trend kuliko tukio lake huyo kiba.Nadhani wengi wameona upande mmoja wa stori baada ya shilole kupost lile gazeti lakini ukifuatilia shilole ndio aliyeanza dharau akiwa anahojiwa katika kipindi refresh cha wasafi akawa amemdiss Ali na Esha kwamba yeye ni mkubwa kuliko wao na hata listening part ya Ali yeye ndio kafanya imechangamka so alichofanya Ali ni ku backfire tu na obviously anayeanza haonekani ila anaonekana anayemaliza