Shilole amchana Alikiba

Shilole amchana Alikiba

Sema kumbe hata humu kuna watu wana akili ka za Youtube tu za Tazama hapa Magufuli afufuka.

Kwa heshima ambayo shilole alipewa siku ya listening party na inavyojulikana shilole alishawahi kukiri kua yeye si shabiki wa Ali ila Ali hakuona vibaya akamualika Bidada na kuna watu wengi ambao si kampani ya Ali walialikwa kama Jux pia..Lakini alichokuja kukifanya Huyu Bidada kwenye Re-Fresh kusema anamzid Ali na yeye ni Brand ilihali mtu alikua amekualika hadu kwenye shughuli yake ilikua ni dharau kwa Ali,So alichofanya Ali nae ni kujifanya hamjui kua Alivizia kwenye Shughuli ile na kalikana naona leo lipo lina lialia kwenye vyombo vya habari vyote.
Wewe una una akili za shake well before use, kama Ali alimwalika Shilole why akane hakumwalika? huu si ndio uboya wenyewe?
 
Kweli shishi huwa mropokaji ndio ila Mimi sikujua hyo event ya Ali Hadi nilipomuona shilole alipoitwa na kuongea na kiba akiwa anaona, tena shishi alishindwa kuvaa viatu video zake Zika trend kuliko tukio lake huyo kiba.
Kiukweli ukiachana na tabia ya Ali lakini shilole mzinguaji sana ndio maana naye mskaji kaamua kumzingua mbona kwenye interview Ali kaulizwa kuhusu mange akajibu vizuri kwamba lile gazeti la mange analosema Ali alitaka kumtafuna hoteli ila akakataa mpaka Ali akamchunia
 
Unaweza kusema shilole alisema kipi kibaya?
 
Kweli shishi huwa mropokaji ndio ila Mimi sikujua hyo event ya Ali Hadi nilipomuona shilole alipoitwa na kuongea na kiba akiwa anaona, tena shishi alishindwa kuvaa viatu video zake Zika trend kuliko tukio lake huyo kiba.
Unaona ufahari kudanganya sio ?unafaidika nini?
 
Wewe una una akili za shake well before use, kama Ali alimwalika Shilole why akane hakumwalika? huu si ndio uboya wenyewe?
Kwenye ile page kuna mtu ndio anaisimamia sio yeye Ali personally yeye alichofanya ni kubaliki waalikwa by the way shilole ndio alianza kuzingua yeye Ali kamaliza kama kawaida yake
 
NUKUU YA SHILOLE:

Anandika shilole katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram.

“Hapana kila siku nakosewa nitaka kuongea washauri wangu wanasema nikae kimya.
Hili nimekosewa siwezi kukaa kimya mnanionea

officialikiba nakushukuru sana leo umeuthibitishia ulimwengu mambo yafuatayo :
Una kiburi cha kishamba, unavimba na kupandisha mabega katika namna isiyostahili.

Huna utu ambao watu wako wanakupamba kwamba uko nao. Sawa mimi na wewe hatuna mazoea (Hilo ni kweli kabisa), lakini mimi na wewe tupo katika field moja. Ningeweza kuja kwenye shughuli yako kuonesha upendo tu hata kama sijaalikwa, ungekuwa na utu, haikuwa na haja kwenda redio na kusema “SIJAMUALIKA” : ili mimi nionekane nilivamia tu shughuli tu.

Shame on you Ali. (ila kwa tabia zile za kwenda Marekani kuomba dada zako naniliu hushangazi)

Umethibitisha kwamba wewe hauko ‘organized’. Kwa sababu, utasema nilipostiwa kwenye page yako na kutafutwa na watu wako wakati hawajakutaarifu. Kwa hiyo kwa ukubwa tunaotangaziwa unao Bwana Ali, unataka kusema hujui hata kilichopostiwa kwenye page yako rasmi katika siku yako muhimu.

Kwa hiyo hata Nasibu uliyeshindana naye miaka mingi akakugaragaza angeweza kualikwa bila wewe kujua? (Nasibu humuwezi tusikudanganye).
Wewe ndo msanii wetu wa kimataifa, SIJAPENDA.

Kwa ufupi, sikuenda kwenye shughuli kama mvamizi. Nilialikwa, nimescreenshot post yake na kupost hapo juu.

Shughuli ile ya hovyo hovyo na kupoa kama uji wa mgonjwa, ilihitaji uwepo wangu. YEEES, Niliwasaidia kuchangamsha.

Katika mazingira ya sasa mimi hakuna lolote ninalofaidika kwa kwenda kwenye shughuli ya Ali, sana sana nilienda kumuongezea followers.

Kama nahukumiwa, nihukumuni kwa kupenda shughuli za wenzangu. Kila nikialikwa Zuwena mimi nakweenda kuonesha upendo.

Sitaacha kufanya hivyo kwasababu ya watu waliokosa utu na shukrani kama Ali.
Aah hasira zimeisha, njooni Shishi Food tule ubwabwa”

View attachment 1990886
Unasema hukumwalika wakati kwenye page yako umempost na kumtag umemtagi leo unasema hukumwalika.

Leo kaachia video yake ft Patoranking hapa angekuwa Sadala mngesema anapenda kiki na mtu wenyewe Shilole Mswahili hajui kukaa kimya.
 
Sasa yeye shilole si alisema ye brand kubwa kamzidi Ali kila kitu mwenzie ndio kamwambia yeye hamjui hata kwenye ile event hakumwalika alialikwa na wafanyakazi wake
Nina mashaka kama una akili timamu, Yani Ali ni wa kushindana na mama ntilie?

Siku akiambiwa ana kibamia atavuwa zipu kuwaonesha watu kuwa hana kimamia?

Ni ujinga mtupu Ali kujiweka level na mama ntilie.
 
Sema kumbe hata humu kuna watu wana akili ka za Youtube tu za Tazama hapa Magufuli afufuka.

Kwa heshima ambayo shilole alipewa siku ya listening party na inavyojulikana shilole alishawahi kukiri kua yeye si shabiki wa Ali ila Ali hakuona vibaya akamualika Bidada na kuna watu wengi ambao si kampani ya Ali walialikwa kama Jux pia..Lakini alichokuja kukifanya Huyu Bidada kwenye Re-Fresh kusema anamzid Ali na yeye ni Brand ilihali mtu alikua amekualika hadu kwenye shughuli yake ilikua ni dharau kwa Ali,So alichofanya Ali nae ni kujifanya hamjui kua Alivizia kwenye Shughuli ile na kalikana naona leo lipo lina lialia kwenye vyombo vya habari vyote.
Kumbe huyu dada alitangulia kuleta ushubwada!!
mseing kweli huyu
 
Back
Top Bottom