Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Vinampotezaje?Ana zaidi ya decade kwenye game na bado thamani yake haijawahi kushuka!KIBURI NA MAJIVUNO NI MOJA YA VITU VINAVYOMPOTEZA KIBA
Jamaa hana washauri wazuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vinampotezaje?Ana zaidi ya decade kwenye game na bado thamani yake haijawahi kushuka!KIBURI NA MAJIVUNO NI MOJA YA VITU VINAVYOMPOTEZA KIBA
Jamaa hana washauri wazuri
Mbn unaongea ukweli sasaKinachomuuma Shilole alimtombea chooni walivokuwa kwenye Fiesta Mwanza kipindi hicho.Sasa kila akikumbuka roho inamuuma sana.
Huyu Konde boy si mtoto wa juzi tu? Kiba anaweza kumfikia kwa Mkwanja huyu dogo?Vinampotezaje?Ana zaidi ya decade kwenye game na bado thamani yake haijawahi kushuka!
Wabongo show off ndio mnatafsiri Kama utajiri!Huyu Konde boy si mtoto wa juzi tu? Kiba anaweza kumfikia kwa Mkwanja huyu dogo?
Kila mmoja alikuwa akijibu kadri alivyoulizwa, so it's the two sides to the story kati ya Kiba na Shilole.Na king kusema yeye hakumualika maybe ni team yake ndio ilimualika kuna tatizo? Si ni kweli hakumualika!
Hajarushiana nae maneno, aliulizwa swali akajibu.
Kiki kajipa mwenyewe kumtaja Shishi kwa kebehi ilhali akijua Shishi ni talkative character na haogopi mtu yoyote hivyo lazima atajibu na ugonvi wao utatrend, ndiyo maana katoa video leo.Kiki mmempa nyie.
I smell a feminist on top notch, you're right though.Wala sina tatizo naye ila nimemshangaa sana, kana tabia za kidemudemu sana.
Jiulize kwenye hiyo party ulimuona mke wake?
Licha ya kwamba huyo Shilole ndio walewale lakini ni mwanamke ambaye anapambana sana kwa kiasi chake si jambo jema kumletea hizi tabia za udhalilishaji.
Labda nikuulize swali rahisi, huyo Konde boy kawalipa Wasafi kiasi gani cha pesa kwa kuvunja mkataba?Wabongo show off ndio mnatafsiri Kama utajiri!
Ona hili tako la mbwa linavyotoa mipasho kWala sina tatizo naye ila nimemshangaa sana, kana tabia za kidemudemu sana.
Jiulize kwenye hiyo party ulimuona mke wake?
Licha ya kwamba huyo Shilole ndio walewale lakini ni mwanamke ambaye anapambana sana kwa kiasi chake si jambo jema kumletea hizi tabia za udhalilishaji.
Wewe ni mke wao kua unajua mikwanja yao?Huyu Konde boy si mtoto wa juzi tu? Kiba anaweza kumfikia kwa Mkwanja huyu dogo?
Ona ulivyo na akili za kijinga na kijima, Unajua hiyo pesa aliitoa wapi? Mke konde boy twambieLabda nikuulize swali rahisi, huyo Konde boy kawalipa Wasafi kiasi gani cha pesa kwa kuvunja mkataba?
Naona muda mrefu unatafuta bwana kinguvu humu JF.Ona ulivyo na akili za kijinga na kijima, Unajua hiyo pesa aliitoa wapi? Mke konde boy twambie
Ona ulivyo na akili za kijinga na kijima, Unajua hiyo pesa aliitoa wapi? Mke konde boy twambie
Halafu watoto kama wewe mnafilika vizuri tu mjini hapa.Ona hili tako la mbwa linavyotoa mipasho k
Unashindana vipi na mwanamke kama siyo uboya?
Huoni madhara yake hata tuliokuwa tunampenda tumemdharau?
Na yeye anaanza vipi kushindana na mwanaume.
Hivi seriously huyu mama lishe shishi ni wakujishindanisha na Ali Kiba . Kweli nimeamini huyu Dada fyusi zake kichwani hazipo sawa.
Labda wewe peke yako ndio umemdharau kiba Mimi ze guy is still the best acha kuongelea watu etu tuliokuwa tunampenda, wewe na nani?
Mimi binafsi nilikuwa namkubali kiba na ninaendelea kumkubali
Lakini new comers wanakuja na kumpiga overtake, hivyo kama thamani haishuki na pia haipandi. Ushahidi wa facts(numbers) unaonyesha Rayvanny na Harmonize wanamgalagaza kwenye maeneo mengi, watoto wa juzi.Vinampotezaje?Ana zaidi ya decade kwenye game na bado thamani yake haijawahi kushuka!