Shilole amchana Alikiba

Shilole amchana Alikiba

Na king kusema yeye hakumualika maybe ni team yake ndio ilimualika kuna tatizo? Si ni kweli hakumualika!

Hajarushiana nae maneno, aliulizwa swali akajibu.
Kila mmoja alikuwa akijibu kadri alivyoulizwa, so it's the two sides to the story kati ya Kiba na Shilole.
Basi tuwaache waendelee na mipasho yao, muda ndiyo utaamua nani ataibuka mshindi.
 
Wala sina tatizo naye ila nimemshangaa sana, kana tabia za kidemudemu sana.

Jiulize kwenye hiyo party ulimuona mke wake?

Licha ya kwamba huyo Shilole ndio walewale lakini ni mwanamke ambaye anapambana sana kwa kiasi chake si jambo jema kumletea hizi tabia za udhalilishaji.
I smell a feminist on top notch, you're right though.
 
Wale waliokuwa na nyongo dhidi ya kijana Ali Salehe Leo zinatemwa hapa ..
 
Wala sina tatizo naye ila nimemshangaa sana, kana tabia za kidemudemu sana.

Jiulize kwenye hiyo party ulimuona mke wake?

Licha ya kwamba huyo Shilole ndio walewale lakini ni mwanamke ambaye anapambana sana kwa kiasi chake si jambo jema kumletea hizi tabia za udhalilishaji.
Ona hili tako la mbwa linavyotoa mipasho k
 
Labda nikuulize swali rahisi, huyo Konde boy kawalipa Wasafi kiasi gani cha pesa kwa kuvunja mkataba?
Ona ulivyo na akili za kijinga na kijima, Unajua hiyo pesa aliitoa wapi? Mke konde boy twambie
 
Zuena mohamed nae akae atulie tu dharau za kiba haziwez[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ona ulivyo na akili za kijinga na kijima, Unajua hiyo pesa aliitoa wapi? Mke konde boy twambie
Naona muda mrefu unatafuta bwana kinguvu humu JF.

Wakati upo kijiji hata hujawahi kumiliki smartphone wala hujui JF ni nini huyo pimbi wako sisi tumempa sapoti ya nguvu.

Ona ulivyo na akili za kijinga na kijima, Unajua hiyo pesa aliitoa wapi? Mke konde boy twambie
 
Ona hili tako la mbwa linavyotoa mipasho k
Halafu watoto kama wewe mnafilika vizuri tu mjini hapa.

Unashindana vipi na mwanamke kama siyo uboya?

Huoni madhara yake hata tuliokuwa tunampenda tumemdharau?

Na yeye anaanza vipi kushindana na mwanaume.
Hivi seriously huyu mama lishe shishi ni wakujishindanisha na Ali Kiba . Kweli nimeamini huyu Dada fyusi zake kichwani hazipo sawa.
Labda wewe peke yako ndio umemdharau kiba Mimi ze guy is still the best acha kuongelea watu etu tuliokuwa tunampenda, wewe na nani?
Mimi binafsi nilikuwa namkubali kiba na ninaendelea kumkubali
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Vinampotezaje?Ana zaidi ya decade kwenye game na bado thamani yake haijawahi kushuka!
Lakini new comers wanakuja na kumpiga overtake, hivyo kama thamani haishuki na pia haipandi. Ushahidi wa facts(numbers) unaonyesha Rayvanny na Harmonize wanamgalagaza kwenye maeneo mengi, watoto wa juzi.
Ana talent na ana diehard fans ambavyo ni mtaji mzuri sasa what he lacks ni connection kati yake na fans na ndiyo kinachomdumaza kagota hapo alipo hasongi mbele, vyote vinasababishwa na dharau pamoja na majivuno. Imagine angekuwa na mafanikio kama ya Diamond ya mpaka kufanya collaborations na American artists si wasanii wote wa Kibongo angewaona kama mavi.
Katoa album, Harmonize karibu atatoa na Diamond yuko mbioni hapo ndiyo utaona tofauti ya ukubwa wa kila msanii.
Showbiz industry si kulegeza sauti peke yake, ni kufanya investment za nguvu, kusukuma products(nyimbo) zako aggressively sokoni na kutengeneza obvious connection kwa msanii husika na fans kwani fans ndiyo humbeba artist.
 
Back
Top Bottom