Nimecheka sana hii jaman shilole bhana uchi km sufuria ya mama ntilie haichagui mapishi!Bora huyo dogo aachike tu aolewe na mwanamke mwingine.
Ni kama opener ya bar mkuu inafungua kila chupaNimecheka sana hii jaman shilole bhana uchi km sufuria ya mama ntilie haichagui mapishi!
Hahahaah wachapane chumban na si mbele ya hadhiraKwa hiyo angemchapa mbele za wanyama isingekuwa shida eh?
Dada yake Hpolepole mkuuShilole ndio nani?
Sasa hivi huko alipo kile kibwana chake cha zamani Nuh Mziwanda kinafurahi tuu kinaona kumbe pia yy alikua haonewi ilikua ni haki yake kula mbataAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Yule msanii wa kizaz kipya shilole aka zuwena shishiii beibii kutoka igunga anadaiwa kumchapa makof mpenz wake uchebe mbele za watu
Shilole alianza kwa kumufokea mbele za watu huku akimsonta, uchebe wakat huo alikuwa kaweka mikono nyuma huku akitetemeka na akiomba msamaha kwa kosa lisilojulikana lakin shishi beibi hakuelewa hilo akamsogelea na kumzaba makofi mengi mengi moja la shavu na mengine ya kichwan na kifuan
Watu walioshudia tukio hilo walisema shilole kafanya uzalilishaji wa hali wa juu sana huwez kumfokea na kumpiga mpenz wako mbele za watu
KAZI KWENU MARIO
chanzo global
LONDON BABY
Viben 10 ndo nnHUYU SHILOLE ANAOGOPA KUWA NA MWANAUME WA SHOKA ANAJUA ATAPIGWA TU.NDIO MAANA ANATAFUTA VI BEN 10 ILI AVIPIGE KILA SIKU