shilole yuko netherland unazungumzia habari ya mwaka gani?Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Yule msanii wa kizaz kipya shilole aka zuwena shishiii beibii kutoka igunga anadaiwa kumchapa makof mpenz wake uchebe mbele za watu
Shilole alianza kwa kumufokea mbele za watu huku akimsonta, uchebe wakat huo alikuwa kaweka mikono nyuma huku akitetemeka na akiomba msamaha kwa kosa lisilojulikana lakin shishi beibi hakuelewa hilo akamsogelea na kumzaba makofi mengi mengi moja la shavu na mengine ya kichwan na kifuan
Watu walioshudia tukio hilo walisema shilole kafanya uzalilishaji wa hali wa juu sana huwez kumfokea na kumpiga mpenz wako mbele za watu
KAZI KWENU MARIO
chanzo global
LONDON BABY
Sio kama uchebe anashindwa kumpiga shilole.anaogopa kupewa kifuko chake cha shangazi kaja.na kutimuliwa
Anawarushia wanaume wad dar tu....Hakuna mwanamke mwenye mkono mwepesi wa kurusha makofi kama shishi bby.
Kimsingi huyo jamaa anastahili kupigwa tu, mwanaume anaachaje familia yake kwa sababu ya shilole?Wanaume halisi tumebaki wachache sana,huyu fundi gereji atapigwa sana tu
Ukiolewa huwezi kuwa na sauti ,ukitaka kujua hayo angalia nyumba zinazoonekana Mwanamke kuwa na nguvu kiuchumi utaelewa.Hahahahah huyu shilole nae dah...this is too much! Akija kwangu hio siku anarusha kofi nitamfanya hakuna mbona. Ntampiga kama ME mwenzangu maana hana adabu. Combination ya nakoz na ndoo yani lazma nimvujishe michuzzzz ili shilawadu waongee vizuri