Shilole amchapa makofi mpenzi wake Uchebe mbele za watu

Shilole amchapa makofi mpenzi wake Uchebe mbele za watu

Hahaha... ati amfumue tu... kama hana uwezo wa kumfumua tuu... kheri awahi kushtaki...

Si unajua wanawake mnavyolindwa na sheria sana...


Yes love amfumue tu mwanaume ni mwanaume ujue! Akienda kushtaki mwanaume mzima nomaa



Cc Smart911
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Yule msanii wa kizaz kipya shilole aka zuwena shishiii beibii kutoka igunga anadaiwa kumchapa makof mpenz wake uchebe mbele za watu

Shilole alianza kwa kumufokea mbele za watu huku akimsonta, uchebe wakat huo alikuwa kaweka mikono nyuma huku akitetemeka na akiomba msamaha kwa kosa lisilojulikana lakin shishi beibi hakuelewa hilo akamsogelea na kumzaba makofi mengi mengi moja la shavu na mengine ya kichwan na kifuan

Watu walioshudia tukio hilo walisema shilole kafanya uzalilishaji wa hali wa juu sana huwez kumfokea na kumpiga mpenz wako mbele za watu

KAZI KWENU MARIO


chanzo global

LONDON BABY
Duuuhhh ??? Ndizo shukuran za kutunzwa na mwanamke ,,lazima uwe zwazwa .

ila hata km ,,,, jamàa nako katakua nikasenge tuuu...kupigwa nadem ????? Kwann usimkunje ???
 
aa7032712ab5541f99f315b0a527fc23.jpg
 
Hahahahah huyu shilole nae dah...this is too much! Akija kwangu hio siku anarusha kofi nitamfanya hakuna mbona. Ntampiga kama ME mwenzangu maana hana adabu. Combination ya nakoz na ndoo yani lazma nimvujishe michuzzzz ili shilawadu waongee vizuri
Nasikia mwamba uchebe ameshakichafua😀😫😀😫
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona uchebe alienda gym ili alipe kisasi, uwiiiiiiiiiiiiiih
 
Back
Top Bottom