Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Watu wengi wana hitimisha tu kua Shilole ni malaya, kama ni malaya huyo Uchebe wakati anamuoa hakujua kama Shilole ni malaya. Kuna jambo moja hapa ambalo wanaume wengi tunalikwepa. Ni hivi siku zote mwanamke akikuzidi kipato sio lazima ila asilimia kubwa ndoa itakua na matatizo, na matatizo haya inaweza kua kweli anayasababisha mwanamke au wakati mwingine mwanaume pia anaweza kua chanzo cha matatizo.

Saikolojia inasema "Mwanamke akiwa na pesa anadhani au kuna muda ana amini kua haitaji mwanaume yoyote (source IG: FAHAMU ZAIDI) Kutokana na imani hiyo ndio hapo unaweza kua mwanzo wa dharau au kiburi n.k (note: Saikolojia haisemi kua mwanamke anakua malaya hapana, maana umalaya ni tabia ya mtu hata mwanamke asiye na pesa anaweza kua malaya vile vile).

Kwa upande wa mwanaume yeye akizidiwa pesa na mkewe basi saikolojia yake inamtuma kua mkewe anachepuka, kifupi anahisi mkewe ana mdharau, kila kitu atakachosema mwanaume hata kama sio sahihi mwanamke wake akikikataa atahisi kua mkewe kamdharau, kifupi mwanaume anajawa na wivu kiasi kwamba hata mwanamke akiwa kwenye mambo yake (mishe mishe / kazi) basi mwanaume atawaza kua anasalitiwa jambo ambalo sio kweli.

Kwa mkasa huu wa Shilole kila kitu kinawezekana, kutokana na maelezo haya kweli Shilole anaweza kua na makosa au pia Uchebe anaweza kua na makosa so ni 50% - 50%

Ila habari za umalaya ni hoja zisizo na mashiko kwa sababu wakati anamuoa alikua anajua kama kweli mke wake ni malaya au sio malaya.
'In every decision you make there is a price to pay'
 
Nyuzi za hii mada zinazidi kutiririka tu kama mvua. Siamini kama kuna sababu inayohalalisha kumpiga mwanamke (kiasi hiki). Angeweza kumuua kabisa.

Mambo yakifikia kiasi hiki nadhani ni afadhali tu kuachana - hata kama ni kwa muda ili kurekebisha mambo kama inawezekana.
 
Aisee! Hivi mwanaume uliyekamilika unapataje nguvu za kumpiga mtoto wa kike namna hii???
Unadhan wasiokamilika wanaweza hii..? Ukion@ kapiga basis KAKAMILIKA huyo..
Sio kama wale mafwalwa waliolewa na limbwata la matakoni..
Ukizingua unamenywa tu
 
Natazama ule mstari ambao mtume wa Allah S.A.W alitoa angalizo

" Mwanamke hapigwi, basi ikitokea apigwe basi sio usoni tena na upande wa kanga"
 
Alivyompiga kambadilisha???
 
Huyu uchebe kitumbua cha shilole kimemshinda matokeo yake ameamua kurusha ngumi mfululizo.

Nimemuhama uchebe nimegundua ameshindwa kuogelea kwenye kina kirefu.
Ukiona mwanamke analeta dharau usimpige msubiri kitàndani alafu mpe shughuli pevu hakika atakuheshimu milele.
 
Natazama ule mstari ambao mtume wa Allah S.A.W alitoa angalizo

" Mwanamke hapigwi, basi ikitokea apigwe basi sio usoni tena na upande wa kanga"
Ukifanyiwa kwenye ndoa yako haya ninayokwambia hata ungenunua roli la kanga husikilizwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…