YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Unasemaje nenda kaoe wanawake wa kisii kenya ulete za kuleta uone mziki wakeHakuna mwanamke wa kumfanya chochote Uchebe makarate dunia Hii.
Katuwakilisha vema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasemaje nenda kaoe wanawake wa kisii kenya ulete za kuleta uone mziki wakeHakuna mwanamke wa kumfanya chochote Uchebe makarate dunia Hii.
Katuwakilisha vema.
Wewe nakuchapa na ile fimbo ya nyama [emoji533][emoji533][emoji529][emoji529]Sasa kwa nini unaniita mtoto? Btw kwa vyovyote nilivyo hakuna mbwa mwenye haki ya kunyanyua mkono kunipiga
Wapigwee tu hamna namna au siooo..Mtu akibisha nikupigwa tu acha wapigwe
Yaani zinatiririka kama mvua. Mods huwa wanaunganisha lakini leo naona wamezidiwa [emoji16][emoji16][emoji16]Hizi nyuzi leo..cheeeiii!!
Unadhan wasiokamilika wanaweza hii..? Ukion@ kapiga basis KAKAMILIKA huyo..Aisee! Hivi mwanaume uliyekamilika unapataje nguvu za kumpiga mtoto wa kike namna hii???
Natazama ule mstari ambao mtume wa Allah S.A.W alitoa angalizoHaya yamemtokea mwanamama Shilole .
Mimi binafisi nimependezwa na jambo hili na nimeamua kushare na nyinyi ndugu zangu wanaume.
Mwanaume kumuoa mwanamke aliyekuzidi kipato ndiyo matokeo yake haya jamani ,hawa viumbe wakipata vijisenti ndani ya ndoa kunakuwa kama Club za Simba na yanga.
Kiukweli kwa namna moja au nyingine wanaume tunanyanyaswa Sana ndani ya ndoa zetu Mimi ni mmoja wapo .
Mimi binafisi najuta kuoa mwanamke msomi na mwenye mshahara wake jamani semina haziishi kwa huyu mama ,ninavyoandika huu ujumbe muda huu nipo kwenye hatua ya mwisho kumfanyia kama Uchebe alichomfanyia Shilole.
Wanawake mna nini lakini nyie viumbe jamani?
Kuna muda naweza kutoka kazini nikakuta mke wangu anajiandaa kutoka na hakunijulisha nikimuuliza utasikia kuna part ya Ofisi sijui Nani anafanya nn basi naishia kujikalia kimya .
Basi ndugu yetu Uchebe kuna watakao mlaumu mara mashirika ya haki za wa mama lakini na sisi wanaume nani atatutetea kwenye ulimwengu huu wa Malkia wa nguvu kila media kuna kipindi cha kuongelea masuala ya wanawake na haki zao sisi je?
Wanaume wengi tunakufa na tai shingoni.
Moderator ..Naomba msiufute huu uzi tuacheni wanaume tujadili hili kwa Uhuru View attachment 1501113View attachment 1501114View attachment 1501115
Alivyompiga kambadilisha???Jomba, usisema kirahisi, na ni kwa sababu haliko kwako, mpaka mwanaume anafikia hatua ya kumpiga mwanamke ujue alishatumia mdomo kuonya na hakusikilizwa, wanawake type ya huyo Shilole hakuna namna yeyote ya kumrekebisha zaidi ya kipigo, wanawake type hiyo wakishakuwa na vijihela anataka wewe mwanamme uwe kama kondoo kwake ndio mtaelewana, mwanamke akishakuwa na uwezo wa kutengeneza hela zake yeye mwenyewe hakuna namna anaweza kuwa na adabu kwa mumewe, (mimi ni muhanga wa hilo, sijasimuliwa), kwa hiyo ni vema ukaelewa ni mazingira ndio yanapelekea mwanaume kutumia kipigo ili kutafuta namna ya kuzibua masikoo ya mwanamke type ya Shilole, hapo alistahili kabisa kupata kipigo hicho huyo mwanamke maana hakunaga jinsi wala njia nyingine.
Ukishammenya kinafuata nini mkuu?Unadhan wasiokamilika wanaweza hii..? Ukion@ kapiga basis KAKAMILIKA huyo..
Sio kama wale mafwalwa waliolewa na limbwata la matakoni..
Ukizingua unamenywa tu
Ukiona mwanamke analeta dharau usimpige msubiri kitàndani alafu mpe shughuli pevu hakika atakuheshimu milele.
Kuhusu mtalimbo upo wa kutosha umekidhi viwango vyote vya FIFAMtalimbo uwe nao. Kama una kiba100 Lazima upanik kwa mateke
Ukifanyiwa kwenye ndoa yako haya ninayokwambia hata ungenunua roli la kanga husikilizwiNatazama ule mstari ambao mtume wa Allah S.A.W alitoa angalizo
" Mwanamke hapigwi, basi ikitokea apigwe basi sio usoni tena na upande wa kanga"
Huyo uchebe hajakamilika mkuu, angekamilika asingependa kitonga, umarioo una gharama zake.Unadhan wasiokamilika wanaweza hii..? Ukion@ kapiga basis KAKAMILIKA huyo..
Sio kama wale mafwalwa waliolewa na limbwata la matakoni..
Ukizingua unamenywa tu
Tunayo shida katika jamii yetu. Nyie mabinti mkija kupata watoto kuweni sehemu ya suluhisho. Raise your sons properly...muwafundishe vizuri kuhusu mambo haya. Hali siyo nzurinaona mnataka kuhalalisha vipigo ndani ya ndoa..