Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Picha zipo wapi sasa!
Halafu huko juu inasomeka Msangi
 
Ila Chris brown nae.... Sasa unaanzaje kumpiga Rihanna, me ningempa mimba
 
Hayajakukuta mzee usiseme hvyo hujui alichokifanya huyo na huenda ukikifahamu unaweza kusema kwann asingemvunja ata mkono. Hawa wanawake hawa nadhan waliooa au wanaoishi na wanawake kwa mda mrefu watakuwa wananielewa
Hayajamkuta mkuu, Mimi hata ningesikia kamkata mguu nisingeshangaa sana, mapenzi bhana acheni tu.. mke wa brother mambo anayoyafanya na Hua naona Hua nasikitika sana sema ndio vile ukipendi huoni brother kafa kaoza
 
Huyo uchebe hajakamilika mkuu, angekamilika asingependa kitonga, umarioo una gharama zake.
Kwani hujui mwanamke ananoga kila sector..!! Yaan yeye mwenywe na mali zake pia..
Acha kidume ale, si alitaka mwenywe damu mbichi ili akojozwe vingi.
Sasa achague kati ya kuacha kukojozwa au kuendelea kukojozwa
 
Mwanamke hakomolewi wewe, acha ujinga.

Hapo aliepoteza ni huyo marioo uchebe.
Mwanamke akipigwa ni sunna njoo Tarime, nyie chongeni weee kesho mtakuta wamerudiana nani anaonekana mjinga si ni wewe!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] umetisha mkuu
 
Kwani hujui mwanamke ananoga kila sector..!! Yaan yeye mwenywe na mali zake pia..
Acha kidume ale, si alitaka mwenywe damu mbichi ili akojozwe vingi.
Sasa achague kati ya kuacha kukojozwa au kuendelea kukojozwa
Wakumkojoza wapo wengi mjini, kama alivyotoka nuhu, akaja yeye unaweza ukakuta saizi ni zamu yako na wewe, ila ujipange umarioo una gharama zake.

Sijui sura yake ataweka wapi masikini, garage yenyewe nyuma alikuwa shishi.

Marioo mna kazi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…