Malipo hapahapa shishi alikua akimkunja mziwanda hadharani kabisa sasa kakutana na mzee anaefungua gia box ya semiAisee! Hivi mwanaume uliyekamilika unapataje nguvu za kumpiga mtoto wa kike namna hii???
Kushindana na mwanamme kukoje?Kama kuwa maarufu kunakufanya Ushindane na mumeo bhasi hesabu wewe ni wa kugongwaa na kuachwaa tena na watoto uwalele sababu unajiona unavihelaaa hivii
Mwanamke akiwa na kauli njema abadan hawez kupigwa hata Mara Moja Hawa wanawake wenye vipato vikubwa kumzid mume kuna kipind wanakera SanaHuwa nachukia sana nikiona mwanaume mwenzangu anapiga mwanamke. Hivi tunashindwa kuishi nao kwa akili?
Mkuu pole kwa yanayokusibu. Ushauri wangu kwako simama kama Mwanaume ndani ya ndoa tofouti na hapo utajuta sana.Haya yamemtokea mwanamama Shilole .
Mimi binafisi nimependezwa na jambo hili na nimeamua kushare na nyinyi ndugu zangu wanaume.
Mwanaume kumuoa mwanamke aliyekuzidi kipato ndiyo matokeo yake haya jamani ,hawa viumbe wakipata vijisenti ndani ya ndoa kunakuwa kama Club za Simba na yanga.
Kiukweli kwa namna moja au nyingine wanaume tunanyanyaswa Sana ndani ya ndoa zetu Mimi ni mmoja wapo .
Mimi binafisi najuta kuoa mwanamke msomi na mwenye mshahara wake jamani semina haziishi kwa huyu mama ,ninavyoandika huu ujumbe muda huu nipo kwenye hatua ya mwisho kumfanyia kama Uchebe alichomfanyia Shilole.
Wanawake mna nini lakini nyie viumbe jamani?
Kuna muda naweza kutoka kazini nikakuta mke wangu anajiandaa kutoka na hakunijulisha nikimuuliza utasikia kuna part ya Ofisi sijui Nani anafanya nn basi naishia kujikalia kimya .
Basi ndugu yetu Uchebe kuna watakao mlaumu mara mashirika ya haki za wa mama lakini na sisi wanaume nani atatutetea kwenye ulimwengu huu wa Malkia wa nguvu kila media kuna kipindi cha kuongelea masuala ya wanawake na haki zao sisi je?
Wanaume wengi tunakufa na tai shingoni.
Moderator ..Naomba msiufute huu uzi tuacheni wanaume tujadili hili kwa Uhuru View attachment 1501113View attachment 1501114View attachment 1501115
Guarantee 100% uso wa jamaa haufanani na huyu mama.Subiri kwanza tusikie na upande wa jamaa ndo nani wa kulaumiwa.
Kama wewe unapenda chupi usidhani wanaume wote wanapenda chupi, nikisema mimi napenda chupi ila wakisema wakina Mo hawapendi chupi, halafu issue za kutaka wanawake mnazitoa wapi mbona zipo nje ya mada kabisa, jiheshimuni hata kidogo, yaani kwa akili hizi bado mnataka wanawake zenu wawaheshimu kweli.Jinga sana. Na kwa nature ya wadada wa humu walivyo akiwafuta PM basi atawasifia na mwisho atawavua chupi.
Anatafuta sympathy kwa wadada wa humu maana anajua ni dhaifu, wakisifiwa kidogo ama ukisimama kwa upande wao basi chupi unawavua.
All in all kua uandishi wa kiume na wakike kwa mwanaume anaejali uanaume wake muhimu kujali hiloShoga mwenyewe ,, mbona unaleta habari ambazo hazipo,, come on jiheshimu mzee kama unanipinga nipinge kwa hoja sio kuni attack personal, huwezi kunipangia nini cha kuandika since device ni yangu na bundle ni langu kama hijakupendeza kaa kimya sio kujifanya unajua kila kitu
Kupiga siyo suluhisho bora uachane naye tuHaya yote yann?? Kuna watu wanajitafutiaga Jela mno.
Unamaisha yako , unajiamin, Mwanamke anaweza kukupanda kiasi cha kumpiga ivo???
Amekupanda sana, usipoteze muda wako, ...ACHANENI , mnaachana kila mtu anaendelea na maisha yake.
Sasa mwisho ufungwe kwa upuuzi upuuzi tu.
Ndo apige kipigo Kama hicho.Huwajui wanawake mwanangu, inawezekana mchizi anajilaumu kwa kutembeza kichapo namna hiyo, we unadhani mwanamke aliezaliwa na kukulia uswahilini kama shilole hana maudhi? kuna maudhi mengine yanavumilika kidume huwezi kurusha hata kibao let alone kujibishana nae, tatizo mdomo mademu wana maneno machafu sana usikute demu ndo alimuomba mchizi waishi kwake demu, we unakubali kwenda kwake kiroho safi kwa upendo tu anakugeuzia kibao.
of course ni mbaya hata kumpiga kofi moja tu ni mbaya sema huwa inatokea dem anatema shit unashangaa tu kofi limekutoka ila nasema kama hicho kipigo ni cha mara kwa mara tatizo ni la mchizi kaharibu sana.Ndo apige kipigo Kama hicho.
Akina Nuhu walikuwa wanadundwa serikali iliingilia? leo nae kakutana na kiboko yake.Serikali iingilie hili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alafu wala hajapigwa sana angemuona mama BHOKE anavyokanyagwa na mzee MATIKO CHACHA angerudi kwa uchebe na kumbusu kimahaba yani nilimshuhudia mama Bhoke anapigwa kwa kurushiwa Tv ya chogo na remote yake ila mpaka leo bado yupo japo sikio lake moja lilin'gatwa na mumewe kisa kuchelewa kupika kichuri.