Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

kwanini ukipigwa hausemi unajikausha kipigo kimepanda bei ndo unakuja kujamba jamba hapa ili tukuonee huruma, nadhani alijiaminisha jamaa bila yeye hawezi kwa kuwa hana pesa na akasahau jamaa anaweza kumpiga bila hata pesa. naongea haya yote kwa niaba ya Nuh mziwanda
 
Uchebe zile nako zimekomaa sipati picha zilivyokua zinashuka kwenye uso wa shilole,
 
Kama kuwa maarufu kunakufanya Ushindane na mumeo bhasi hesabu wewe ni wa kugongwaa na kuachwaa tena na watoto uwalele sababu unajiona unavihelaaa hivii
Kushindana na mwanamme kukoje?
Kama Ni kuzalishwa na kuachwa na Hela zangu bora kuliko kulinda ndoa mbovu.
 
Alafu wala hajapigwa sana angemuona mama BHOKE anavyokanyagwa na mzee MATIKO CHACHA angerudi kwa uchebe na kumbusu kimahaba yani nilimshuhudia mama Bhoke anapigwa kwa kurushiwa Tv ya chogo na remote yake ila mpaka leo bado yupo japo sikio lake moja lilin'gatwa na mumewe kisa kuchelewa kupika kichuri.
 
Kuna wanaume humu nawafananisha na mambwa koko,,kubweka huku wanakimbia ovyo, wanajitia vidume kumbe nyuma ya pazia wanachapika sawasawa iwe kwa ngumi ama matukio na Bado wananywea,
wengine girlfriends tu wamewashinda ila wako hapa wanabwata ovyo
 
Huwa nachukia sana nikiona mwanaume mwenzangu anapiga mwanamke. Hivi tunashindwa kuishi nao kwa akili?
Mwanamke akiwa na kauli njema abadan hawez kupigwa hata Mara Moja Hawa wanawake wenye vipato vikubwa kumzid mume kuna kipind wanakera Sana

Sasa hapo anapokera ndio huwa tunapimwa uwezo wa akil zetu ziko wanaume

Ndio maana wanasema ukitaka kujiona una akil timamu oa ndio utajua pale unapovurugwa na mwanmke utachukua hatua gani
 
Haya yamemtokea mwanamama Shilole .
Mimi binafisi nimependezwa na jambo hili na nimeamua kushare na nyinyi ndugu zangu wanaume.

Mwanaume kumuoa mwanamke aliyekuzidi kipato ndiyo matokeo yake haya jamani ,hawa viumbe wakipata vijisenti ndani ya ndoa kunakuwa kama Club za Simba na yanga.

Kiukweli kwa namna moja au nyingine wanaume tunanyanyaswa Sana ndani ya ndoa zetu Mimi ni mmoja wapo .

Mimi binafisi najuta kuoa mwanamke msomi na mwenye mshahara wake jamani semina haziishi kwa huyu mama ,ninavyoandika huu ujumbe muda huu nipo kwenye hatua ya mwisho kumfanyia kama Uchebe alichomfanyia Shilole.

Wanawake mna nini lakini nyie viumbe jamani?

Kuna muda naweza kutoka kazini nikakuta mke wangu anajiandaa kutoka na hakunijulisha nikimuuliza utasikia kuna part ya Ofisi sijui Nani anafanya nn basi naishia kujikalia kimya .

Basi ndugu yetu Uchebe kuna watakao mlaumu mara mashirika ya haki za wa mama lakini na sisi wanaume nani atatutetea kwenye ulimwengu huu wa Malkia wa nguvu kila media kuna kipindi cha kuongelea masuala ya wanawake na haki zao sisi je?

Wanaume wengi tunakufa na tai shingoni.

Moderator ..Naomba msiufute huu uzi tuacheni wanaume tujadili hili kwa Uhuru View attachment 1501113View attachment 1501114View attachment 1501115
Mkuu pole kwa yanayokusibu. Ushauri wangu kwako simama kama Mwanaume ndani ya ndoa tofouti na hapo utajuta sana.
 
Subiri kwanza tusikie na upande wa jamaa ndo nani wa kulaumiwa.
Guarantee 100% uso wa jamaa haufanani na huyu mama.

Amefanya jambo busara kuondoka maanake kilichobaki ni kummwagilia maji ya moto mumewe akiwa amelala wallahi .
Ndoa iliisha alipopigwa mara ya kwanza.
 
Jinga sana. Na kwa nature ya wadada wa humu walivyo akiwafuta PM basi atawasifia na mwisho atawavua chupi.

Anatafuta sympathy kwa wadada wa humu maana anajua ni dhaifu, wakisifiwa kidogo ama ukisimama kwa upande wao basi chupi unawavua.
Kama wewe unapenda chupi usidhani wanaume wote wanapenda chupi, nikisema mimi napenda chupi ila wakisema wakina Mo hawapendi chupi, halafu issue za kutaka wanawake mnazitoa wapi mbona zipo nje ya mada kabisa, jiheshimuni hata kidogo, yaani kwa akili hizi bado mnataka wanawake zenu wawaheshimu kweli.
Nipo JF toka mwaka 2013, miaka yote hio 7 nisitake wanawake nije niwatake kwenye uzi huu... WTF!!!
 
Shoga mwenyewe ,, mbona unaleta habari ambazo hazipo,, come on jiheshimu mzee kama unanipinga nipinge kwa hoja sio kuni attack personal, huwezi kunipangia nini cha kuandika since device ni yangu na bundle ni langu kama hijakupendeza kaa kimya sio kujifanya unajua kila kitu
All in all kua uandishi wa kiume na wakike kwa mwanaume anaejali uanaume wake muhimu kujali hilo
 
ANAANDIKA @drkumbuka _ KABLA YA KUNYANYUA MKONO NA KUMPIGA HUYU MWANAMKE UNGEJIULIZA AMEKUTOA WAPI NYAUBA WEWE MWANAMKE ALIEKUTOA TONGO TONGO ZA MACHO ULIKUWA NA USO KAMA GARI YA MTALIANO LEO UMEKUWA MTU MWENYE MTAZAMO UNAJIFANYA BONDIA UNGEKUWA BONDIA MZURI UNGEKUWA UNAMPA MAHITAJI YOTE MWANAMKE SIO KUJIFANYA RASHIDI MATUMLA BEI YA UMEME HUIJUI _ @officialshilole SIKUFUNDISHI ILA UYU SIO MWANAUME WA MAISHA YAKO LEO KAKUZIBUA HIVI KESHO ATAKUZIBUA KTK UBONGO UTAKUWA TAIRA KABISA _ LEO UNAMFANYA BENDI YA SHULE MWANAMKE ALIEJITOLEA KUVUMILIA YOTE MATUSI YA MITANDANO KUITWA ANATEMBEA NA MTOTO MDOGO ILA LEO WEWE UMEWEZA KUNYANYUA MIKONO NA KUMZIBUA KMA CHEMBA YA CHOO MSHAMBA WA MAPENZ WW KISABENGO USO KAMA CHOO CHA SHIMO _ MWANAUME GANI MSHAMBA KIASI HIKI NA UKIJIJUA APECHE ALOLO ULIKUWA NA UTANGO TANGO KAMA MAJANI YA MABOGA LEO UPO SOFT UNAJIONA BONDIA _ PAMBANA NA SPANA ULETE MAHITAJI NYUMBANI SIO UNAPAMBANA NA MWILI WA MWANAMKE _ @officialshilole WEWE NDO MWENYE MAAMUZI SIE WENGINE TUNAUMIA KWA KUWA SOTE BINADAMU ILA NAJUA DHAMBI YA KUMWAMBIA MTU DAI TARAKA ILA WEWE NDO MWENYE KUJUA MAUMIVU YOTE UTAJUA CHA KUFANYA KWA AKILI YAKO ILA ASIJIFANYE KM YEYE ANAMAUMBILE MAWILI KUSHINDA WENZIE MSONDO NGOMO AKILI KICHWANI MWAKO _ ILA UNGEKUWA DADA ANGU WA KUZALIWA LEO MIE NDO NINGEMSASAMBUA KMA SANDUKU LA MWALI UYO MWENYE MIGAGA KAMA AFUKEKI YA SH 50 _ NAPINGA UKATILI WA MWANAMKE NA MTOTO KTK NCHI YA TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪 _
 
Haya yote yann?? Kuna watu wanajitafutiaga Jela mno.

Unamaisha yako , unajiamin, Mwanamke anaweza kukupanda kiasi cha kumpiga ivo???

Amekupanda sana, usipoteze muda wako, ...ACHANENI , mnaachana kila mtu anaendelea na maisha yake.

Sasa mwisho ufungwe kwa upuuzi upuuzi tu.
Kupiga siyo suluhisho bora uachane naye tu
Mwanamke mwenye kilomita zimeenda, ashapigana vita kibao ww unangaika naye ya nini

Ova
 
Huwajui wanawake mwanangu, inawezekana mchizi anajilaumu kwa kutembeza kichapo namna hiyo, we unadhani mwanamke aliezaliwa na kukulia uswahilini kama shilole hana maudhi? kuna maudhi mengine yanavumilika kidume huwezi kurusha hata kibao let alone kujibishana nae, tatizo mdomo mademu wana maneno machafu sana usikute demu ndo alimuomba mchizi waishi kwake demu, we unakubali kwenda kwake kiroho safi kwa upendo tu anakugeuzia kibao.
Ndo apige kipigo Kama hicho.
 
Shilole nae alimnyanyasaga Nuh mziwanda tunaita karma
 
Serikali iingilie hili
Akina Nuhu walikuwa wanadundwa serikali iliingilia? leo nae kakutana na kiboko yake.

Muda wote nilikuwa namuhurumia huo jamaa kujiingiza kwenye mkenge, kumbe walau "mkono anao".
 
Alafu wala hajapigwa sana angemuona mama BHOKE anavyokanyagwa na mzee MATIKO CHACHA angerudi kwa uchebe na kumbusu kimahaba yani nilimshuhudia mama Bhoke anapigwa kwa kurushiwa Tv ya chogo na remote yake ila mpaka leo bado yupo japo sikio lake moja lilin'gatwa na mumewe kisa kuchelewa kupika kichuri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom