Kwa mfano Usaliti, Hapa nikipigo ila kwakua binafsi sheria yangu haithubutu kusamehe msaliti, Tinaachana ,hapa hata kama unamimba unaondoka... tumezaa watoto wangapi UNAONDOKA.
Kipigo ni suala moja, kupenda nilingine.
Alafu muda wakukaa mnagombana niwann??? Yaan badala ya kuwaza maendeleo yenu, mnawaza maujinga na magonvi na mabembelezano yasokua namaana khaaaaaaa....BADILIKENI.
Hahahah kumsitiri sio ishu, ndio ukalale nje siku 2 bila maelezo yanayoeleweka kisha ushupaze shingo? Kichapo fc tu kitakuhusu.Nimesikitika sana ..Kuna wanaume hawana shukrani mwanamke akustiri uonekane mtu mbele za watu na bado wamfanyia Mambo meusi..Hana haya na sura lake baya Kama sokwe.
Yaani unahakikisha unamkanda vyema hata kama ni msanii akisimama mbele ya camera inashindwa kutofoutisha jinsia yake. Mimi nitaenda jela ila na mimi nahakikisha umaarufu wake unaishia hapo maana atapata kilema cha maisha 😊Hahahah kumsitiri sio ishu, ndio ukalale nje siku 2 bila maelezo yanayoeleweka kisha ushupaze shingo? Kichapo fc tu kitakuhusu.
Kumuacha mke sio rahisi kama watu wanavyodhani. Utaachana na wangapi maana kila mwanamke ana madhaifu yake. Ishu ni kurekebishana kwa hekima na amani ila inapofikia stage mtu haelewi kwa maneno ni shurti umpe nakoz. Hata vitabu vya dini vimeshauri usimnyime mwanamke mapigo.Kabisa mkuu etii wanasema kwa urahisi Muacheee tuu tafuta mwinginee.. Mamaee hapo ashakuzalia watoto watatu au wawilii sasa nani atafanya kazi ya kuacha wanawake kila siku...!! Ni kibanoo tu akili zitamrudiaaa mbonaaa
Uchebe Hana kazi ?
Jamii forum kila mtu ni mjuaji haki ya Mungu ?
Uchebe ana kazi inayoweza kuwa inamuingizia hela nzuri kuliko watu wengi wanaosubiri mishahara mwisho wa mwezi.
Jamaa ana gereji Yake magomeni nenda kamtembelee siku moja halafu uwe unapiga mahesabu pale uje kuleta mrejesho hapa.
Ofisi yake?? 😅....unamjua uchebe vizuri kwanza?Umarioo wa Uchebe ukoje!? Si ana ofisi yake (garage)? Unataka kusema haingizagi pesa!!??
Huyo shilole kauli za kusema Hana Kaz ni kutaka tu aonekane jamaa Hana lolote Ila ukweli ni kuwa uchebe tokea wanaanza mahusiano yao ni kuwa alikuwa fundi magari na kwa wanaojua sizan Kama dogo atakosa pesa za kujikimuShilole mwenyewe kasema amekuwa akimlea huyo Uchebe,
Je amesema uongo?
Kama kumsuta msute Shilole ndiye aliyesema hayo[emoji108][emoji108]
Eti ana gereji [emoji3][emoji3]
Kuwa na gereji ni mbali na uwezo wa hiyo gereji kupata wateja wa kuweza kuleta mapato ni kitu kingine!
Kuwa na duka la bidhaa ni mbali na uwezo wa duka kuweza kuwa na wateja wanaweza kuleta mapato !
Fahamu hivyo.
Wewe fikiria umegombana na mke wako ndan alafu anapita mtoto wewe kama baba unasema kumwambia mtoto nenda ndan usije kua na akil kama za mama yako Mara unaskia Kwan uyo mtoto wako wewe una hadh ya kua baba yake apo wewe kama mwanaume unafikir utajiskiajeWanawake ni verbal abusers sana wanaweza kukuharibu kisaikolojia ukajiona huna maana duniani.Wanaoongea wote ni Misandrists lakini mwanaume tetea jinsia yako.
Mwanamke akiingia kwenye ndoa kiharakati ndoa lazima iwe chungu.
Sasa hivi wanawake wana-take advantage kuwashambulia wanaume kwa maneno wanajua jamii itawatetea tu.Kwa sababu hakuna ushahidi wa verbal abuse jamii inajudge physical abuse.
Tena hawana jipya atakutukana kwa haya mawili:
1.Huna hela
2.Una kiba100
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kumpiga mwanamke ni noma sana.
Kwanza kabisa, ni kuonesha kukosa control juu ya hisia zako mwanamme.
Pili, umeshindwa kumdhibiti huyo mwanamke asifanye mambo ya kukukasirisha. Inaonekana mwanamme huna ushawishi ndani ya nyumba. Unatumia nguvu badala ya ushawishi.
Tatu, hata ukijisema wewe mwamba barubaru. Mwamba barubaru anatakiwa ajijue yeye kama mwanamme kupigana atafute mwamba barubaru mwenzake mwanamme. Siyo ampige mwanamke. Hata kwenye riadha na michezo mingine wanawake wana ligi zao tofauti na wanaume.
Nne, unampiga mwanamke, ukimuharibu sura au mwili halafu mkapatana hasara mmekula wote.
Tano, kumpiga mwanamke maana yake wewe mwanamme umekosea kuchagua mwanamke wa kukaa naye. Ungechagua vizuri mngekosana ndiyo,lakini si kufikia kumpiga. Hivyo umejionesha hujui kuchagua mwanamke bora wa kuishi naye.
Kwa leo niishie hapa.
Hizi sababu tano zitishe kunfanya baharia yeyote ajitathmini kabla ya kumpiga mwanamke.
Kuna tano nyingine za ziada, lakini kwa leo niishie hapa.
Sisis wa kanda maalumu tunazoom comeents tu, hapo shilole kapigwa au kapapaswa tu, njooni huku kwetu tarime mshuhudie vipigo na ndoa inaendelea kama kawaHaijalishi kafanya nn kitendo cha Kumpiga binadamu mwenzako kwa Aina Ile hapana
Just emagine shishi ni mdogo wako wa mwisho au mtoto wako je ungeandika hivyo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wanasema umuachee tuu...hawa watoto mtaelea nyiee!! Sema kwa uchebe hawana hata mtoto mwana amuache tu yule demu na hela zakee.. Yale sio maishaaaKumuacha mke sio rahisi kama watu wanavyodhani. Utaachana na wangapi maana kila mwanamke ana madhaifu yake. Ishu ni kurekebishana kwa hekima na amani ila inapofikia stage mtu haelewi kwa maneno ni shurti umpe nakoz. Hata vitabu vya dini vimeshauri usimnyime mwanamke mapigo.
Kile kipigo sio kikubwa ni mkorogo ule ndio umeleta ule mwonekano mtu mwenye mkorogo hata akipita juani damu inavilia sembuse kupigwa kibao. Chukulia angepigwa mtu mkavu kama Ebotoke unadhani angetoka yale maalama ya mikorogo?Hata kama ni halali kumpiga mke akikosea ila sio kwa ukubwa ule wa kipigo. Tena kapiga sana usoni alidhamiria kumuumiza na hata wakiachana awe hana soko tena maana front Ofice kashaiharibu.
Sijawahi kuona mama akipigwa hivo au mama yake uchebe ndio alikua anafanyiwa hivo.? (Sorry to say your mom)
Hujakosea hata kidgo!Watoto wa kiume,majukumu ya Kiume hawayawezi,wanapenda kuteleza bila kujua kuwa utelezi una gharama zake!Mwanaume unalelewa halafu unakuwa mkorofi ?
Hayo mengine ni gharama za kulelewa hakuna cha bure mjini labda salamu tu [emoji108][emoji108]
Kama hujapata mwanamke mwenye Dharau.. Muelewaa... Asiekuwa na mdomoo bhasi wewe utakuwa one in a million luckiest man na huna sababu ya kumpigaa!! Lakini hawa kwetu bongo mamaee...Nashukuru sana Comrade, hapa hata wenye vichwa vigumu watakuwa wamekuelewa, naona tuishie hapa tu.
THREAD CLOSED!
Mimi mwenyewe nawashangaa Hawa wanaoona taarifa za uchebe mitandaoni , nadhani Ni kwasababu uchebe sio mtu wa mitandao na sio mtu wa kujionesha mitandaoni.Huyo shilole ni Malaya tu kauli za kusema Hana Kaz ni kutaka tu aonekane jamaa Hana lolote Ila ukweli ni kuwa uchebe tokea wanaanza mahusiano yao ni kuwa alikuwa fundi magari na kwa wanaojua sizan Kama dogo atakosa pesa za kujikimu