Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Watu wanasema kama mwanamke Mmeshindwana muache.

Inategemea amekushindaje haiwezekani umuache mwanamke bila kumshtua kwa makofi hata mawili matatu labda ndo kitu anahitaji ili akae sawa Wanaume hatuwezi kuwa tunaacha kila mwanamke kisa una dharau sijui unajibu kila kitu unaachwa kama ushakuwa suguu wa kibanooo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kabisa mkuu etii wanasema kwa urahisi Muacheee tuu tafuta mwinginee.. Mamaee hapo ashakuzalia watoto watatu au wawilii sasa nani atafanya kazi ya kuacha wanawake kila siku...!! Ni kibanoo tu akili zitamrudiaaa mbonaaa
Kwa mfano Usaliti, Hapa nikipigo ila kwakua binafsi sheria yangu haithubutu kusamehe msaliti, Tinaachana ,hapa hata kama unamimba unaondoka... tumezaa watoto wangapi UNAONDOKA.

Kipigo ni suala moja, kupenda nilingine.

Alafu muda wakukaa mnagombana niwann??? Yaan badala ya kuwaza maendeleo yenu, mnawaza maujinga na magonvi na mabembelezano yasokua namaana khaaaaaaa....BADILIKENI.
 
MWANAMKE HAPIGWI....
UKIWA NA TABIA YA KUPIGA IKO SIKU UTAPEWA MAKAZI YAKO YA MILELE KWENYE MAJENGO YA SERIKALI NA UTAPOTEZA KILA KITU
WE KAMA UKO KWENYE MAHUSIANO YA NDOA NA NDOA YAKO INA MUSHKELI, LAKINI MIPANGO YAKO YA MAISHA YANAENDA... WE PIGA CHINI
MOVE ON WITH YOUR LIFE.

ova
 
Nimesikitika sana ..Kuna wanaume hawana shukrani mwanamke akustiri uonekane mtu mbele za watu na bado wamfanyia Mambo meusi..Hana haya na sura lake baya Kama sokwe.
Hahahah kumsitiri sio ishu, ndio ukalale nje siku 2 bila maelezo yanayoeleweka kisha ushupaze shingo? Kichapo fc tu kitakuhusu.
 
Hahahah kumsitiri sio ishu, ndio ukalale nje siku 2 bila maelezo yanayoeleweka kisha ushupaze shingo? Kichapo fc tu kitakuhusu.
Yaani unahakikisha unamkanda vyema hata kama ni msanii akisimama mbele ya camera inashindwa kutofoutisha jinsia yake. Mimi nitaenda jela ila na mimi nahakikisha umaarufu wake unaishia hapo maana atapata kilema cha maisha 😊
 
Kabisa mkuu etii wanasema kwa urahisi Muacheee tuu tafuta mwinginee.. Mamaee hapo ashakuzalia watoto watatu au wawilii sasa nani atafanya kazi ya kuacha wanawake kila siku...!! Ni kibanoo tu akili zitamrudiaaa mbonaaa
Kumuacha mke sio rahisi kama watu wanavyodhani. Utaachana na wangapi maana kila mwanamke ana madhaifu yake. Ishu ni kurekebishana kwa hekima na amani ila inapofikia stage mtu haelewi kwa maneno ni shurti umpe nakoz. Hata vitabu vya dini vimeshauri usimnyime mwanamke mapigo.
 
Aisee! Mungu hulipa hapa hapa Duniani, Alimpiga Sana Nuh Kwaiyo Zamu yake hiyo hahahah
 
Uchebe Hana kazi ?

Jamii forum kila mtu ni mjuaji haki ya Mungu ?

Uchebe ana kazi inayoweza kuwa inamuingizia hela nzuri kuliko watu wengi wanaosubiri mishahara mwisho wa mwezi.

Jamaa ana gereji Yake magomeni nenda kamtembelee siku moja halafu uwe unapiga mahesabu pale uje kuleta mrejesho hapa.

Shilole mwenyewe kasema amekuwa akimlea huyo Uchebe,

Je amesema uongo?

Kama kumsuta msute Shilole ndiye aliyesema hayo[emoji108][emoji108]

Eti ana gereji [emoji3][emoji3]

Kuwa na gereji ni mbali na uwezo wa hiyo gereji kupata wateja wa kuweza kuleta mapato ni kitu kingine!

Kuwa na duka la bidhaa ni mbali na uwezo wa duka kuweza kuwa na wateja wanaweza kuleta mapato !

Fahamu hivyo.
 
Wanawake ni verbal abusers sana wanaweza kukuharibu kisaikolojia ukajiona huna maana duniani.Wanaoongea wote ni Misandrists lakini mwanaume tetea jinsia yako.

Mwanamke akiingia kwenye ndoa kiharakati ndoa lazima iwe chungu.

Sasa hivi wanawake wana-take advantage kuwashambulia wanaume kwa maneno wanajua jamii itawatetea tu.Kwa sababu hakuna ushahidi wa verbal abuse jamii inajudge physical abuse.

Tena hawana jipya atakutukana kwa haya mawili:
1.Huna hela
2.Una kiba100

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Huyo shilole kauli za kusema Hana Kaz ni kutaka tu aonekane jamaa Hana lolote Ila ukweli ni kuwa uchebe tokea wanaanza mahusiano yao ni kuwa alikuwa fundi magari na kwa wanaojua sizan Kama dogo atakosa pesa za kujikimu
 
Wanawake ni verbal abusers sana wanaweza kukuharibu kisaikolojia ukajiona huna maana duniani.Wanaoongea wote ni Misandrists lakini mwanaume tetea jinsia yako.

Mwanamke akiingia kwenye ndoa kiharakati ndoa lazima iwe chungu.

Sasa hivi wanawake wana-take advantage kuwashambulia wanaume kwa maneno wanajua jamii itawatetea tu.Kwa sababu hakuna ushahidi wa verbal abuse jamii inajudge physical abuse.

Tena hawana jipya atakutukana kwa haya mawili:
1.Huna hela
2.Una kiba100

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wewe fikiria umegombana na mke wako ndan alafu anapita mtoto wewe kama baba unasema kumwambia mtoto nenda ndan usije kua na akil kama za mama yako Mara unaskia Kwan uyo mtoto wako wewe una hadh ya kua baba yake apo wewe kama mwanaume unafikir utajiskiaje
 
Kumpiga mwanamke ni noma sana.

Kwanza kabisa, ni kuonesha kukosa control juu ya hisia zako mwanamme.

Pili, umeshindwa kumdhibiti huyo mwanamke asifanye mambo ya kukukasirisha. Inaonekana mwanamme huna ushawishi ndani ya nyumba. Unatumia nguvu badala ya ushawishi.

Tatu, hata ukijisema wewe mwamba barubaru. Mwamba barubaru anatakiwa ajijue yeye kama mwanamme kupigana atafute mwamba barubaru mwenzake mwanamme. Siyo ampige mwanamke. Hata kwenye riadha na michezo mingine wanawake wana ligi zao tofauti na wanaume.

Nne, unampiga mwanamke, ukimuharibu sura au mwili halafu mkapatana hasara mmekula wote.

Tano, kumpiga mwanamke maana yake wewe mwanamme umekosea kuchagua mwanamke wa kukaa naye. Ungechagua vizuri mngekosana ndiyo,lakini si kufikia kumpiga. Hivyo umejionesha hujui kuchagua mwanamke bora wa kuishi naye.

Kwa leo niishie hapa.

Hizi sababu tano zitishe kunfanya baharia yeyote ajitathmini kabla ya kumpiga mwanamke.

Kuna tano nyingine za ziada, lakini kwa leo niishie hapa.

Nashukuru sana Comrade, hapa hata wenye vichwa vigumu watakuwa wamekuelewa, naona tuishie hapa tu.

THREAD CLOSED!
 
Haijalishi kafanya nn kitendo cha Kumpiga binadamu mwenzako kwa Aina Ile hapana

Just emagine shishi ni mdogo wako wa mwisho au mtoto wako je ungeandika hivyo?
Sisis wa kanda maalumu tunazoom comeents tu, hapo shilole kapigwa au kapapaswa tu, njooni huku kwetu tarime mshuhudie vipigo na ndoa inaendelea kama kawa
 
Kumuacha mke sio rahisi kama watu wanavyodhani. Utaachana na wangapi maana kila mwanamke ana madhaifu yake. Ishu ni kurekebishana kwa hekima na amani ila inapofikia stage mtu haelewi kwa maneno ni shurti umpe nakoz. Hata vitabu vya dini vimeshauri usimnyime mwanamke mapigo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wanasema umuachee tuu...hawa watoto mtaelea nyiee!! Sema kwa uchebe hawana hata mtoto mwana amuache tu yule demu na hela zakee.. Yale sio maishaaa
 
Hata kama ni halali kumpiga mke akikosea ila sio kwa ukubwa ule wa kipigo. Tena kapiga sana usoni alidhamiria kumuumiza na hata wakiachana awe hana soko tena maana front Ofice kashaiharibu.

Sijawahi kuona mama akipigwa hivo au mama yake uchebe ndio alikua anafanyiwa hivo.? (Sorry to say your mom)
Kile kipigo sio kikubwa ni mkorogo ule ndio umeleta ule mwonekano mtu mwenye mkorogo hata akipita juani damu inavilia sembuse kupigwa kibao. Chukulia angepigwa mtu mkavu kama Ebotoke unadhani angetoka yale maalama ya mikorogo?
 
Akilinjema, Ndivyo mnadanganyana huko vijijini kwenu.

Pale kwa uchebe tunaibuka kabla hata hajamuoa Huyo. Uchebe tunamjua tangu na tangu labda wewe uwe umemjua leo kwenye taarifa za Millard Ayo.

Kwa taarifa yako Sasa nakupa Uchebe alikuwa anaishi poa tu kabla hata ya kumuoa Shilole sema issue zake za gereji shilole amemuongezea soko zaidi baada ya kuwa nae lakini si kweli eti Uchebe ni Mario, Hakuna huo ukweli.

Mpaka kesho ukienda pale Gereji kwake jamaa anagonga spana Kama kawaida.

Kwa wewe usiemjua shilole ndio utakuja hapa kuongea pumba Usitake tuongee mengine hapa tupigwe Ban.

Nenda kamuulize shilole ameshaacha tabia Yake ya kukutana na yule jamaa mme wa mtu pale Grand Villa Hotel kijitonyama ? ... Sasa ndio ujue huyo shilole tunamjua nje out akizingua tunamwaga mambo
 
Nashukuru sana Comrade, hapa hata wenye vichwa vigumu watakuwa wamekuelewa, naona tuishie hapa tu.

THREAD CLOSED!
Kama hujapata mwanamke mwenye Dharau.. Muelewaa... Asiekuwa na mdomoo bhasi wewe utakuwa one in a million luckiest man na huna sababu ya kumpigaa!! Lakini hawa kwetu bongo mamaee...

Mwanamke kakuzidi pesaa yani huwezi kwepa dharauu zilizozidi kipimo maana hata kama mnasaidiana kwenye majukumu tu wana dharau balaa..
 
Huyo shilole ni Malaya tu kauli za kusema Hana Kaz ni kutaka tu aonekane jamaa Hana lolote Ila ukweli ni kuwa uchebe tokea wanaanza mahusiano yao ni kuwa alikuwa fundi magari na kwa wanaojua sizan Kama dogo atakosa pesa za kujikimu
Mimi mwenyewe nawashangaa Hawa wanaoona taarifa za uchebe mitandaoni , nadhani Ni kwasababu uchebe sio mtu wa mitandao na sio mtu wa kujionesha mitandaoni.

Mimi namjua uchebe tangu anaishi Mwananyamala mshikaji kwa issue zake za gereji huwezi kusema eti anakosa hela.

Ila ndio watanzania huamini wanayoyasikia hususani upande wa shilole maana ndio husikika Sana kwenye media.
 
Back
Top Bottom