Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Concious sana bro. Hujaacha kitu! Mwanamke unayempenda huwezi kubali kumuacha kirahisi yani lazma mnafikia stage unampa kisago ikiwa hakai mkao!
 
Vipigo havihalalishwi ila mnaona mfano halisi wa kijana mstaarabu anapochoka kuvumilia maneno ya mwanamke much know na mwenye kidomo domo.
naona mnataka kuhalalisha vipigo ndani ya ndoa..
 
Nyie mnafikiri kuzidi kipato kunawapa justification ya kujiamulia kumuheshimu mume au kutokumuheshimu? Hamna tofauti na yule anaekomaliaga eti mwanaume nae adeki na kuosha vyombo kama zamu kwa maana yeye mke anachangia pato katika familia.

Ukiwa huna adabu kwa mwanamume rijali lazma atakubunda tu!!! Jiheshimu umpe peace of mind mumeo, hatakaa akuwazie mabaya. Daima mtadumu katika amani.

Tatizo lenu wanawake wa kibongo mkishika hela na mali zaidi ya waume mnakuwa na roho ya unyanyasaji na dharau. Yani baba wa familia asihoji umelala wapi siku 2 mfululizo bila taarifa.
 
Ulimzibua sana inaonesha!
 
Ukiwakuta sasa wanavyofarijiana..eti oh mwanamke ni mtu wa thamani hivyo hawez kupigwa.shenzi kweli ,angekua wa thamani ndo angekua anafanya utopolo?...bado nasema tena, muda mwingine mwanamke hawezi kwenda bila kipigo.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] inaonekana huwa unawapa kichapo sana
 
Ugumu uko wapi kuelewa hili ndugu zangu?

Mke ni rafiki mliyekubaliana kuishi pamoja mzae watoto mjenge familia. Mkishindwana mnaachana in peace.

Kutumia disadvantage ya mwanamke kutokuwa na nguvu kumrushia mangumi sio ustaarabu. Ni kweli kuna makabila yenye tabia hii potofu. Pengine ni kukosa elimu au kushikiria mila potofu.

Lakini kwenye modern world, ukimpiga mwanamke unaonekana ni primitive. Cha ajabu sasa hata polisi hawachukulii serious kesi za namna hii. That is wrong. Mwanamke ni just a friend. Mmekubaliana muishi pamoja mjenge familia.

Mkishindwana achaneni in peace
 
Huwa inakuja tu automatic, watusamehe tu sie wengine maprimitive,ila kupiga mwanamke bila sababu ya msingi ndio huwa naona haiko sawa au unamuadhibu kama mtoto hiyo kwakweli haikubaliki, ila ile kumnasa kerbu kwakuwa tu kajibu hovyo au katukana inasadia sana kutunza ndoa, hata baadhi yao huwa wanaipenda hiyo, mkiwa mmetulia wenyewe utaona anakusifia, my love you make me feel like a real woman when you slapped me the other time,i feel like i belong to a man of my dream, na we ukuiona hivyo unamwambia baadaye tutoke kidogo tukapate vitafunwa sehemu, basi maisha yanakwenda.
 
sawa mkuu endelea kuishi kwenye dunia ya kisasa, Kwa vile sio mali yako sisi wacha tumpumulie kisogoni wewe subiri hadi keshokutwa asubuhi akirudi kwako maana huwezi mfanya chochote kama mbwa asie na kucha wala meno.

Hizi mambo za kuishi dunia ya kisasa ndo nyie mtakuwa waasisi wakubwa na wachangiaji wakubwa wa watoto wa kiume kuonekan akawaida wakiwa mashoga kwa kigezo cha kuishi dunia ya kisasa.

Afrika inaenda kiafrika sio kizungu ebooh, Mahari nalipia mimi najua ucgungu wake, Mke nmeoa mimi ni wangu, Wivu naemuonea ni mimi sio vibaraka wa instagram au kanisa, Naetakiwa kumpiga mashine ni mimi sipendi kushare, Upo hapo!!!

Dunia ya kisasa muende mkaishi huko ulaya wanakoruhusu mishoga na kuvuta mabangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…