Pole sana Dada yangu,
Mwanamume wa kweli,apigi mwanamke,anapambana na maisha,mke akikula,hata akichepuka,achana nae,kisheria sepa,sio kumpiga,
Shish baby,huyo mwamume,hakuwa wa kiwango chako,ulistahili mwanamume bora wa kiwango cha juu,cha Tanzanite,huyo uchebe ,kiwango chake ni udongo wa mfinyanzi,wakati wewe ni Tanzanite,
Wanamme wengine hawajuhi bahati,Mwanamke,anapesa yake,unashindwa kuturia,na sina shaka sababu ya yote,uchebe ana low self esteem,akikuangalia ulivyopiga hatua kiuchumi,harafu yeye hata robo hajafika,anakosa Amani,chuki inaingia,suluhisho pekee,alilonalo ili akutawale,ni huo unyanyasaji,
Fukuza kabisa huyo Mbwa,