Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

acha kuichafua bangi wewe
 
Ukisikia wanawake wako emotional on judgment ndio hivyo. Wao hawaangalii kiini cha tatizo! Wanajikuta wanahukumu tu kama vile Uchebe ana cheti cha milembe.
Kuna tatizo mahali mkuu, dada zetu wamepotea njia sana
 
Hasira mkuu! One day ukioa mke wako unayempenda halafu akaenda kutiwa nje ndio utaelewa. Kuna kughafilika!!!
 
Ukisikia wanawake wako emotional on judgment ndio hivyo. Wao hawaangalii kiini cha tatizo! Wanajikuta wanahukumu tu kama vile Uchebe ana cheti cha milembe.
Ila wadada siye kwa midomo michafu na jeuri Tu hatuna mpinzani,kiukweli tubadilke na tulivo walalamishi sasa... Yaani na ukikuta kamzidi mmewe kipato baasi hali inakua tete haswaa kwenye mahusiano na hata ndoa wanawake wengi tuna dharau
 
Sidhani kama uko sahihi? Mwanaume akiwa na kazi ndio aheshimiwe ila akiwa hana basi ana inferiority complex?

Wakati unampa hela mkeo malaki laki ya kufanyia analojisikia kipindi uko kama mkurugenzi wa taasisi basi wewe uko sawa ila siku ukitumbuliwa ukafukuzwa kwenye nyumba ya shirika, muanze kuchanga kodi basi unakuwa na inferiority complex?

Mkeo aanze kejeli na dharau ukae kimya bila kutia neno mpaka akalale nje siku 2 kisha akija umpokee unyamaze tu? Ukihoji una inferiority complex?

Hebu fikiria upya post yako mkuu. "Inferiority complex" ni phrase inayotumiwa na wanawake wasio na nidhamu kwa waume zao ambao hawako imara kiuchumi ili kuwadhoofisha kisaikolojia. Kila kitu hutokea kwa sababu.

Inferior complex ni kitu kibaya sana!

Wanaume wasio na kazi wengi wanasumbuliwa na hiyo kitu !
 

Na gari ikibondeka lazima inyooshwe iwe kama mwanzo hauiachi kwa aman
 
Hakika wewe ni muhenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…