Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

sawa mkuu endelea kuishi kwenye dunia ya kisasa, Kwa vile sio mali yako sisi wacha tumpumulie kisogoni wewe subiri hadi keshokutwa asubuhi akirudi kwako maana huwezi mfanya chochote kama mbwa asie na kucha wala meno.

Hizi mambo za kuishi dunia ya kisasa ndo nyie mtakuwa waasisi wakubwa na wachangiaji wakubwa wa watoto wa kiume kuonekan akawaida wakiwa mashoga kwa kigezo cha kuishi dunia ya kisasa.

Afrika inaenda kiafrika sio kizungu ebooh, Mahari nalipia mimi najua ucgungu wake, Mke nmeoa mimi ni wangu, Wivu naemuonea ni mimi sio vibaraka wa instagram au kanisa, Naetakiwa kumpiga mashine ni mimi sipendi kushare, Upo hapo!!!

Dunia ya kisasa muende mkaishi huko ulaya wanakoruhusu mishoga na kuvuta mabangi
acha kuichafua bangi wewe
 
Ukisikia wanawake wako emotional on judgment ndio hivyo. Wao hawaangalii kiini cha tatizo! Wanajikuta wanahukumu tu kama vile Uchebe ana cheti cha milembe.
Kuna tatizo mahali mkuu, dada zetu wamepotea njia sana
 
Hakuna anaehukumu kwamba Uchebe ndo kakosea sana, ila hata kama Shishi alikuwa anachepuka kumpiga ndo ilikuwa suruhisho?

Kwanini Uchebe asingetumia njia zingine hata kuachana pia ilikuwa bora, maana hata sasa pamoja na kumpiga bado wameachana

Sasa si bora wangeachana tu kwa amani!!!
Hasira mkuu! One day ukioa mke wako unayempenda halafu akaenda kutiwa nje ndio utaelewa. Kuna kughafilika!!!
 
Ukisikia wanawake wako emotional on judgment ndio hivyo. Wao hawaangalii kiini cha tatizo! Wanajikuta wanahukumu tu kama vile Uchebe ana cheti cha milembe.
Ila wadada siye kwa midomo michafu na jeuri Tu hatuna mpinzani,kiukweli tubadilke na tulivo walalamishi sasa... Yaani na ukikuta kamzidi mmewe kipato baasi hali inakua tete haswaa kwenye mahusiano na hata ndoa wanawake wengi tuna dharau
 
Sidhani kama uko sahihi? Mwanaume akiwa na kazi ndio aheshimiwe ila akiwa hana basi ana inferiority complex?

Wakati unampa hela mkeo malaki laki ya kufanyia analojisikia kipindi uko kama mkurugenzi wa taasisi basi wewe uko sawa ila siku ukitumbuliwa ukafukuzwa kwenye nyumba ya shirika, muanze kuchanga kodi basi unakuwa na inferiority complex?

Mkeo aanze kejeli na dharau ukae kimya bila kutia neno mpaka akalale nje siku 2 kisha akija umpokee unyamaze tu? Ukihoji una inferiority complex?

Hebu fikiria upya post yako mkuu. "Inferiority complex" ni phrase inayotumiwa na wanawake wasio na nidhamu kwa waume zao ambao hawako imara kiuchumi ili kuwadhoofisha kisaikolojia. Kila kitu hutokea kwa sababu.

Inferior complex ni kitu kibaya sana!

Wanaume wasio na kazi wengi wanasumbuliwa na hiyo kitu !
 
Da'Vinci,

Avator yangu niachie, baki kwenye mada mkuu!
Ukinunua gari si lako?
Ukinunua nyumba si yako?
It’s your property ila kama nyumba unavyoipandia maua ipendeze na gari kulifanyia service kulisafisha liendelee kuvutia hivyohivyo yapasa kwa mke, kama vile hubondibondi gari na kung’oa madirisha ya nyumba yako nzuri ndivyo wapaswa kutompiga mke na kumng’oa meno

So yes a wife is a precious property

Na gari ikibondeka lazima inyooshwe iwe kama mwanzo hauiachi kwa aman
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Tuchapeni na hela kenge nyie
FB_IMG_1594385535416.jpg
 
Huwa inakuja tu automatic, watusamehe tu sie wengine maprimitive,ila kupiga mwanamke bila sababu ya msingi ndio huwa naona haiko sawa au unamuadhibu kama mtoto hiyo kwakweli haikubaliki, ila ile kumnasa kerbu kwakuwa tu kajibu hovyo au katukana inasadia sana kutunza ndoa, hata baadhi yao huwa wanaipenda hiyo, mkiwa mmetulia wenyewe utaona anakusifia, my love you make me feel like a real woman when you slapped me the other time.I feel like I belong to a man of my dream, na we ukuiona hivyo unamwambia baadaye tutoke kidogo tukapate vitafunwa sehemu, basi maisha yanakwenda.
Hakika wewe ni muhenga
 
Back
Top Bottom