Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

kuachana haitoshi.ni kuachana na kipigo juu
 
Si unakumbuka shyshy ilipokuwa block41 Kino, wengi walijua yeye anapamiliki eneo lile kumbe kapanga
Si umeona watu wakamtoa na Sahv pameinuliwa gorofa apartment na wenye kisu
Hawa wasanii Wana fake sana maisha

Ova
hiyo apartment inapangishwa?
 
Nlibahatika kwenda kwenye sehemu yke wkt huo yupo blok 41 kwanza akilewa Ana tlk shyt, kila meza anaivamia apewe mzinga wa pombe
Ustarab zeroooo
Uchebe sijui alijiingiza Vp hpo au ndy kpenda

Ova
 
Ila wadada siye kwa midomo michafu na jeuri Tu hatuna mpinzani,kiukweli tubadilke na tulivo walalamishi sasa... Yaani na ukikuta kamzidi mmewe kipato baasi hali inakua tete haswaa kwenye mahusiano na hata ndoa wanawake wengi tuna dharau
kwa hiyo wapigwee tuuuu au sioo
 
Kuna mwingine hapa namuona ona analeta mambo ya ajab ajab..muda si mrefu nitamkata vikombe vya maana nimuumue kama shilole,maana analeta dharau..
[emoji1787] [emoji1787] Mkuu shida ni nini kakuzidi kipato au?
 
Mihayo na usomi wake wote alipiga mke mbele ya watoto.
Sawa, issue ilitokea kitambo baada ya kutoelewana sjui talaka mwanamke ndy akaiachia
Na mpk kumpiga hujui jamaa lbda alidhindwa vumilia
Ujinga... (ila siungi mkono kupiga mwanamke)

Ova
 
Naunga mkono hoja.
Shilole alishasema alikuwa anawatafutia wanawe na yeye (uchebe) yeye atulie tu mwanamke alikuwa anaitafutia familia yake mahitaji.
Kumbe taarifa alikuwa anatoa!! Sasa mwanaume ngebe ya nini[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
uislamu unaruhusu mwanamke kupigwa sheikh kaeleza hapa uchebe oyeeeee
quran inaeleza mwanamke apigwe na uchebe ni muislamu wapigwee tuuu
 
Ndugu mwenyekiti nina kinaendelea hapa? Comments 900.
Hawa wanaume wa humu wamemchangia shilole hela ya matibabu?
Ndugu katibu kwa kifupi ni kwamba wanalia lia tu hata pesa za matibabu hakuna. Badala watupige na pesa eti wanataka kuhalalisha kutupiga mangumi kisa akili na pesa hawana[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Sijamshangaa uchebe.
Nimemshangaa sheikh.
Lakini nimekushangaa zaidi wewe kuleta hapa habari ya sheikh kusema uislam unaruhusu kipigo.
uchebe ni muislamu na quran inaruhusu wanawake kupigwa.nikushangae unayepinga maandiko ya dini isiyokuhusu.wewe ni nani upinge maandiko ya waislamu?? waislamu wakusikilize wewe au waisikilize quran?
 
Dah.... Aisee! Mtu mwenyewe sasa unaesema tuishi nao kwa akili, akili zenyewe hauna.......

Ila ngoja ukishakuwa mkubwa hizo akili za utoto zitakutoka zitakuja za kikubwa.... Ukijakusoma comment yako mwenyewe utaweza kutapika....
Pumbavu zako, wewe na familia yako ndio hamna akili. Huwa sipendi dharau, ukubwa au udogo wako hauna tija kwangu, kuwa na nidhamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…