Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
kuachana haitoshi.ni kuachana na kipigo juuHakuna anaehukumu kwamba Uchebe ndo kakosea sana, ila hata kama Shishi alikuwa anachepuka kumpiga ndo ilikuwa suruhisho?
Kwanini Uchebe asingetumia njia zingine hata kuachana pia ilikuwa bora, maana hata sasa pamoja na kumpiga bado wameachana
Sasa si bora wangeachana tu kwa amani!!!