Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Kutokana na nature ya kiuumbaji, Mwanamke anachukuliwa kama kiumbe dhaifu kuliko mwanaume (japo wote tuna udhaifu in general kama wanadamu)

Kutokana na udhaifu huo by nature hata uhalisia kwenye maisha kua mwanamke ni kiumbe dhaifu.. Mwanaume kupigwa na mwanamke linaweza lisiwe jambo la ajabu sana kama mwanaume kumpiga mwanamke, kama umesoma moja ya comment yangu huko juu kuna mtu nimemjibu kua mwanamke kupigwa hata makofi mawili matatu kwenye ndoa hilo suala lipo ila sio kwa stage hiyo aliyofikia Uchebe, mpaka anamvizia mwanamke amelala usingizini ndio unampiga ngumi sasa si uboya huo.

Halafu mambo mengine mwanaume unatakiwa kujiongeza, umeshaona mwanamke amekuzidi kipato au upendo umepungua si uite ndugu m solve, ikishindikana si basi muachane, wanaume wangapi wanawapa wake zao talaka? Hapa inaonekana kawaida kwa sababu Shilole ni mzima, angefariki mfano huyo Uchebe angekua wapi sasa hivi? Au yule aliyemchoma mke wake na mkaa kaishia wapi sasa hivi?

Haya mambo yapo na yanaumiza lakini mwanaume lazima uwe na uwezo wa kutazama mbali, siku zote hasira ni hasara, haya alivyompiga kafaidika nini? Kwani hayo matatizo ya Shilole yameisha?
kamfundisha somo kwamba siku nyingine awe makini
 
Shida ya vijana wanapendaga Kitonga aka Clutch ndo mana wanaishia kuoa madada ya mjini ili walelewe na kupigishwa pamba. Sasa hawa madada kama kina Shilole ni pressure tupu hawawezi kutulia lazima akale vichwa ili maisha yenu yaende. Ukiona hivyo unataka eti umpige um control. NEVER
Anaenda kukutafutia na mabwana wengine unanuna😂😂 na kurusha ngumu
 
Wanaume wasiojiamini ndo wanahitaji mwanamke ajishushe Kwa ajili yake.

"If you can only be tall when I'm on my knees, are you really tall?"

Kama uanaume wako unahitaji mwanamke ajishushe au a surrender kila kitu baada ya kuwa mkeo, wewe Ni mwanamme?
Alijua anaoa mwanamke mwenye pesa na umaarufu, alitegemea nini?
Mwanaume anahitaji heshima, ruka ruka weee ila heshima iwepo, the moment uta cross hiyo line yatakukuta tu, and that is nature, we nenda against nature alafu uje na ngonjera bla bla bla.. Heshimuni waume zenu punguzen midomo mtaishi kwa amani kama mkodisha dunia vile
 
Wanawake bana... Mbona aliyempiga anaonekana mdogo kuliko yeye?
Wacha kucheza na mtu wa karate wewe.Na mwili wako mkubwa hutaambulia ngumi hata moja.Akikupa japo ya mbavu unabaki unamwangalia tu huku ukitema udenda.Hapo unakuwa ushagive up akupe kichapo tu ila uhai asikutoe.
 
Hahah cheki watetea haki za wanawake sijui dawati la jinsia mara wakina Joyce Kiria watakavyomshukia Ustaadhi Uchebe kwa kasi ya mwewe.
Ila kile kipigo cha mbwa mwizi ni balaa..
lazima kuna kitu nyuma ya pazia shilole amefanya mpaka jamaa akaamua kumtoa kisusio
 
Kutokana na nature ya kiuumbaji, Mwanamke anachukuliwa kama kiumbe dhaifu kuliko mwanaume (japo wote tuna udhaifu in general kama wanadamu)

Kutokana na udhaifu huo by nature hata uhalisia kwenye maisha kua mwanamke ni kiumbe dhaifu.. Mwanaume kupigwa na mwanamke linaweza lisiwe jambo la ajabu sana kama mwanaume kumpiga mwanamke, kama umesoma moja ya comment yangu huko juu kuna mtu nimemjibu kua mwanamke kupigwa hata makofi mawili matatu kwenye ndoa hilo suala lipo ila sio kwa stage hiyo aliyofikia Uchebe, mpaka anamvizia mwanamke amelala usingizini ndio unampiga ngumi sasa si uboya huo.

Halafu mambo mengine mwanaume unatakiwa kujiongeza, umeshaona mwanamke amekuzidi kipato au upendo umepungua si uite ndugu m solve, ikishindikana si basi muachane, wanaume wangapi wanawapa wake zao talaka? Hapa inaonekana kawaida kwa sababu Shilole ni mzima, angefariki mfano huyo Uchebe angekua wapi sasa hivi? Au yule aliyemchoma mke wake na mkaa kaishia wapi sasa hivi?

Haya mambo yapo na yanaumiza lakini mwanaume lazima uwe na uwezo wa kutazama mbali, siku zote hasira ni hasara, haya alivyompiga kafaidika nini? Kwani hayo matatizo ya Shilole yameisha?
👈👍👏👏👏
 
Hapa Lazima Kuna Dharau Ilipita.
Inasemekana [emoji116][emoji116][emoji116]
JamiiForums-2027123.jpg
 
Naona aongeze dozi.iyo dozi ndogo ad kapata nguvu ya kuandika essay yte iyo
 
Hii Bongo movie tu,utashangaa wamerudiana tu.........simtetei Uchebe ila watu wamesikiliza upande mmoja na kuhukumu,tusubilie Uchebe naye aje aseme nini kilitokea.....mnamuonea huruma shishi baadaye mnaweza kumgeuka, Uchebe akisema ya moyoni
Hahahaaaa........ Kumpiga haikuwa suluhisho!
 
Back
Top Bottom