Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Pole sana Dada yangu,
Mwanamume wa kweli,apigi mwanamke,anapambana na maisha,mke akikula,hata akichepuka,achana nae,kisheria sepa,sio kumpiga,
Shish baby,huyo mwamume,hakuwa wa kiwango chako,ulistahili mwanamume bora wa kiwango cha juu,cha Tanzanite,huyo uchebe ,kiwango chake ni udongo wa mfinyanzi,wakati wewe ni Tanzanite,
Wanamme wengine hawajuhi bahati,Mwanamke,anapesa yake,unashindwa kuturia,na sina shaka sababu ya yote,uchebe ana low self esteem,akikuangalia ulivyopiga hatua kiuchumi,harafu yeye hata robo hajafika,anakosa Amani,chuki inaingia,suluhisho pekee,alilonalo ili akutawale,ni huo unyanyasaji,
Fukuza kabisa huyo Mbwa,
 
Ila hii ni fundisho kwa sisi vijana tusipende slope. Nimewahi kuwa na demu ana hela mimi nikiwa niko chuo naishi kwa masela tu nakula dagaa demu yuko vyema sana
Ananipenda kweli na pesa ananipa but

Alikuwa ananiendesha mno,kutombewa pia ilikuwa kawaida utasikia leo twende club basi baby.club anajua huwezi mudu vinywaji so unabaki kununuliwa demu wKo anashikwa tako aweee nikaona ufala nilitoa uchebe style siku moja kichapo kitakatufu adabu ilimjia vizuri!hawa viumbe ukiwa huna hel wanaweza kutombwa mbele yako kwa kisingizo anakutafutia

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
hahahah Naona huyo demu amepata size yake,yeye si alikuaga anakapa kichapo heavy ka nuhu mziwanda mpk kanakimbilia barabarani,Ustaadhi Uchedi style yake ya kushtua kwa ngumi usingizini sijui alifundishiwa dojo gani.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana na hii comment yako japo haichekeshi wallah[emoji23]
 
hahahah Naona huyo demu amepata size yake,yeye si alikuaga anakapa kichapo heavy ka nuhu mziwanda mpk kanakimbilia barabarani,Ustaadhi Uchedi style yake ya kushtua kwa ngumi usingizini sijui alifundishiwa dojo gani.
Daa kwahiyo kapata sahizi yake, kwahiyo dogo mziwanda anachekea juu ya paa!
 
Hakuna kosa kubwa kwenye kesi za ndoa kama kusikiliza upande mmoja, ili kubalance ilibidi tujue sababu kuu ya hicho kipigo ili tupate kutoa maoni kikamilifu
 
Officialshilole Naandika haya, nikiwa na akili timamu na utulivu, La kwanza kabisa nataka KUOMBA RADHI JAMII YANGU. Naomba radhi kwa sababu niliwaaminisha ndoa yangu haina tatizo, huku ukweli ukiwa hauko hivyo, nimekuwa mtu wa kuambulia vipigo na MENGINE yasiyozungumzika, Naomba radhi kwa sababu niliposikia wanawake wenzangu wakipigwa niliwaambia PAZENI SAUTI, niliposikia mwanamke kule Kigamboni ameuwawa na kuchomwa moto niliomboleza na jamii na kusema Bora angesema".. huku mimi nikijikausha na kujitoa kwenye kundi lao wakati ukweli wangu MIMI NI MWENZAO, Naomba radhi.

Mimi ni kioo cha jamii, tena sura kubwa ya wanawake. Leo numeona nivunje ukimya kwa kuweka wazi kwamba MUME WANGU ASHRAFU SADIKI, maarufu kama UCHEBE AMEKUWA ANANIPIGA SAAANA, na tena hata baada ya kunipiga hajali kupiga simu wala kujua naendeleaje, nauguzwa na watu baki hospitali, na bado manyanyaso mengine yanayoikosesha hii ninayoiita Ndoa uhai na furaha

na zaidi nina WATOTO, watoto wanaoniangalia kama Baba na Mama, leo nikubali kufa na kuacha wanangu barabarani, SITAWEZA

'Uchebe' ni mwanaume niliyempenda, nilimvumilia kwa madhaifu yote, nikampa kila kitu, (Utu wangu, Mali Zangu na hata palipotakiwa kumuendeleza asimame mwenyewe nilifanya kwakuwa nilijua tuko pamoja), lakini HILO HALIKUWAHI KUZUIA VIPIGO, DHARAU NA USALITI.

Siku 2 zilizopita baada ya kutoka SABASABA KUTAFUTIA WATOTO WANGU NA KUMTAFUTIA YEYE NILIPIGWA SANA. SABABU ZA KUPIGWA NI MIGOGORO MIDOGO YA KAWAIDA AMBAYO IPO KWENYE KILA NDOA, sio kwamba amenifumania au mambo yanayoshindwa kuzungumzika, hapana, Tena Namuheshimu sana, lakini solution aliyoiona ni kunipiga kinyama bila huruma, tena kwa kunishtua na ngumi nikiwa usingizini, Kama mnavyoona picha hapo ni matukio ya siku tofauti tofauti.

Najua nitalaumiwa kwa kuweka hili mtandaoni, ILA SINA NAMNA, MAISHA YANGU NI MAISHA YA WATU KWA KIASI KIKUBWA, JAMII INANITAZAMA KAMA MFANO.. Nimefika mwisho, na kuanzia sasa naomba nisitambulike kama Mke wa Uchebe, ila Mama alieamua kuweka maslahi ya watoto wake mbele na kuamua kuwa mwenyewe kwa usalama na furaha yake

Wakati nahangaikia mambo yangu ya ndoa, post hii itumike kuwakumbusha wanawake TUVUNJE UKIMYA, TUPINGE UKATILI, TUTAKUJA KUULIWA SABABU

Pia soma > Shilole amchapa makofi mpenzi wake Uchebe mbele za watu

Karma is whaaat?? nadhani nuh mziwanda huko aliko leo kapombeka balaa full kushangweka, in a nutshell, enyi wanawake tunawapenda hatuwezi kuishi bila nyinyi lakini ikitokea mmetuzidi uchumi kidogo acheni DHARAU maana bila sisi nyie HAMPO hii ni nature cha msingi tuheshmiane na tusaidiane pale inapobidi.
 
Hakuna kosa kubwa kwenye kesi za ndoa kama kusikiliza upande mmoja, ili kubalance ilibidi tujue sababu kuu ya hicho kipigo ili tupate kutoa maoni kikamilifu
Kipigo hakihitaji kusikilizwa, swali kampiga hajampiga? Sababu ya kumpigia haina mashiko tena,

Mwanaume na misuli yako imekuchachamaa mikononi unanyanyua na kumpiga mwanamke!! Hapana haikubaliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanawake hatuwezi kuishi nao, hata kwa akili hatuwezi. Ni bora ukaachana nae utafute furaha nyingine tu huko.
 
Haya yamemtokea mwanamama Shilole .
Mimi binafisi nimependezwa na jambo hili na nimeamua kushare na nyinyi ndugu zangu wanaume.

Mwanaume kumuoa mwanamke aliyekuzidi kipato ndiyo matokeo yake haya jamani ,hawa viumbe wakipata vijisenti ndani ya ndoa kunakuwa kama Club za Simba na yanga.

Kiukweli kwa namna moja au nyingine wanaume tunanyanyaswa Sana ndani ya ndoa zetu Mimi ni mmoja wapo .

Mimi binafisi najuta kuoa mwanamke msomi na mwenye mshahara wake jamani semina haziishi kwa huyu mama ,ninavyoandika huu ujumbe muda huu nipo kwenye hatua ya mwisho kumfanyia kama Uchebe alichomfanyia Shilole.

Wanawake mna nini lakini nyie viumbe jamani?

Kuna muda naweza kutoka kazini nikakuta mke wangu anajiandaa kutoka na hakunijulisha nikimuuliza utasikia kuna part ya Ofisi sijui Nani anafanya nn basi naishia kujikalia kimya .

Basi ndugu yetu Uchebe kuna watakao mlaumu mara mashirika ya haki za wa mama lakini na sisi wanaume nani atatutetea kwenye ulimwengu huu wa Malkia wa nguvu kila media kuna kipindi cha kuongelea masuala ya wanawake na haki zao sisi je?

Wanaume wengi tunakufa na tai shingoni.

Moderator ..Naomba msiufute huu uzi tuacheni wanaume tujadili hili kwa Uhuru View attachment 1501113View attachment 1501114View attachment 1501115
Tunakuelewa Hali yako kidogo Ila akikushinda mpe talak yake dunia ikamfunze huko . Wew huna haki yakumpiga mwenzio btw wakiwa na hela mnasema wakiwa hawana mnawanyanyasa na kuwasema kuwa nj magolikipa jema ni lipi Sasa[emoji38]
 
Duh! mbona hiko kipigo Kama anaua mwizi sisi wanaume tuna kwama wapi? Unampiga mtu mzima mwenzako Kama mtoto kweli?
Huwajui wanawake mwanangu, inawezekana mchizi anajilaumu kwa kutembeza kichapo namna hiyo, we unadhani mwanamke aliezaliwa na kukulia uswahilini kama shilole hana maudhi? kuna maudhi mengine yanavumilika kidume huwezi kurusha hata kibao let alone kujibishana nae, tatizo mdomo mademu wana maneno machafu sana usikute demu ndo alimuomba mchizi waishi kwake demu, we unakubali kwenda kwake kiroho safi kwa upendo tu anakugeuzia kibao.
 
Back
Top Bottom