Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Huwa inakuja tu automatic, watusamehe tu sie wengine maprimitive, ila kupiga mwanamke bila sababu ya msingi ndio huwa naona haiko sawa au unamuadhibu kama mtoto hiyo kwakweli haikubaliki, ila ile kumnasa kerbu kwakuwa tu kajibu hovyo au katukana inasadia sana kutunza ndoa, hata baadhi yao huwa wanaipenda hiyo, mkiwa mmetulia wenyewe utaona anakusifia, my love you make me feel like a real woman when you slapped me the other time,i feel like I belong to a man of my dream,na we ukuiona hivyo unamwambia baadaye tutoke kidogo tukapate vitafunwa sehemu,basi maisha yanakwenda.
😅😅🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️💃💃💃💃 kama kuna kaukweli lakin kwa upande wangu.
 
It’s your property ila kama nyumba unavyoipandia maua ipendeze na gari kulifanyia service kulisafisha liendelee kuvutia hivyohivyo yapasa kwa mke, kama vile hubondibondi gari na kung’oa madirisha ya nyumba yako nzuri ndivyo wapaswa kutompiga mke na kumng’oa meno

So yes a wife is a precious property
 
Zaman enzi za manabii utajiri wa mtu ulihesabiwa hadi kwa idadi ya wake na watoto alionao.
So naweza kukubali kua mke ni propert ya mume ndio maana ni wajibu wa mume kuitunza property hiyo
 
Naandika uzi huu nikiwa na hasira,uchungu na kisirani mpaka nahisi kichwa kuwaka moto natetemeka na jazba hadi kifuani nimebanwa..natype hapa vidole vinatetema pia why coz karne ya 21 bado kuona kuna madume yenye vichwa viwili yanapiga wanawake,shame on them..

Mwanamke kwanza hakosei therefore hapigwi..kwa sie wenye title zetu tumebahatka kukanyaga 'western world' huko hata ukimtusi mwanamke acha kumpiga lupango inakuhusu not less than 3years..

Mwanamke hata akikucheat unabembeleza,akinuna mpetipeti,akitaka hela uza hata nyumba kopa benki mpe so inshu za kupiga loo..yan atokee mwanaume aniguse ata kwa kidole aone mziki wa kichwaBOGA Mtoto wa mjini asiye na chembe ya ujinga atasahaulika...mkomeeee..last warning
 
Are you sober in this moment in time??!--- usituletee mambo ya ulaya huku ni Africa.

Huko ulaya hata ukimtusi shoga kwa ushoga wake unahukumiwa na kufungwa, uchafu wa huko usituletee huku Africa.
 
😂 😂 😂 Kwamba mke wangu katoka kucheat amerudi nyumbani kamwagiwa cum deep inside zinamvuja then nipige magoti nianze kuomba msamaha na kumbembeleza.... Dumbest thread ever
 
ANAANDIKA @drkumbuka _ KABLA YA KUNYANYUA MKONO NA KUMPIGA HUYU MWANAMKE UNGEJIULIZA AMEKUTOA WAPI NYAUBA WEWE MWANAMKE ALIEKUTOA TONGO TONGO ZA MACHO ULIKUWA NA USO KAMA GARI YA MTALIANO LEO UMEKUWA MTU MWENYE MTAZAMO UNAJIFANYA BONDIA UNGEKUWA BONDIA MZURI UNGEKUWA UNAMPA MAHITAJI YOTE MWANAMKE SIO KUJIFANYA RASHIDI MATUMLA BEI YA UMEME HUIJUI _ @officialshilole SIKUFUNDISHI ILA UYU SIO MWANAUME WA MAISHA YAKO LEO KAKUZIBUA HIVI KESHO ATAKUZIBUA KTK UBONGO UTAKUWA TAIRA KABISA _ LEO UNAMFANYA BENDI YA SHULE MWANAMKE ALIEJITOLEA KUVUMILIA YOTE MATUSI YA MITANDANO KUITWA ANATEMBEA NA MTOTO MDOGO ILA LEO WEWE UMEWEZA KUNYANYUA MIKONO NA KUMZIBUA KMA CHEMBA YA CHOO MSHAMBA WA MAPENZ WW KISABENGO USO KAMA CHOO CHA SHIMO _ MWANAUME GANI MSHAMBA KIASI HIKI NA UKIJIJUA APECHE ALOLO ULIKUWA NA UTANGO TANGO KAMA MAJANI YA MABOGA LEO UPO SOFT UNAJIONA BONDIA _ PAMBANA NA SPANA ULETE MAHITAJI NYUMBANI SIO UNAPAMBANA NA MWILI WA MWANAMKE _ @officialshilole WEWE NDO MWENYE MAAMUZI SIE WENGINE TUNAUMIA KWA KUWA SOTE BINADAMU ILA NAJUA DHAMBI YA KUMWAMBIA MTU DAI TARAKA ILA WEWE NDO MWENYE KUJUA MAUMIVU YOTE UTAJUA CHA KUFANYA KWA AKILI YAKO ILA ASIJIFANYE KM YEYE ANAMAUMBILE MAWILI KUSHINDA WENZIE MSONDO NGOMO AKILI KICHWANI MWAKO _ ILA UNGEKUWA DADA ANGU WA KUZALIWA LEO MIE NDO NINGEMSASAMBUA KMA SANDUKU LA MWALI UYO MWENYE MIGAGA KAMA AFUKEKI YA SH 50 _ NAPINGA UKATILI WA MWANAMKE NA MTOTO KTK NCHI YA TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪 _
Yeye Dr.Kumbuka kwa vile ana kipaji cha kuchambana na wanawake wakitofautiana anahisi wanaume wote tuna vipawa hivyo. Wengine hatupendi kelele, maumivu yakizidi ni nakozi za abuja tu!

Hapo Muamuzi mbio!!!
 
😂 😂 😂 Kwamba mke wangu katoka kucheat amerudi nyumbani kamwagiwa cum deep inside zinamvuja then nipige magoti nianze kuomba msamaha na kumbembeleza.... Dumbest thread ever
Ukisikia wanawake wako emotional on judgment ndio hivyo. Wao hawaangalii kiini cha tatizo! Wanajikuta wanahukumu tu kama vile Uchebe ana cheti cha milembe.
 
Nimepitia uzi huu kuanzia post ya #1 mpaka hii ya mwisho #576. Nilichogundua ni hiki:
• Ndoa NYINGI za waliomo humu zinamatatizo sana. Kuna watu wanapiga na kupiga wenzi wao.

• Katika familia nyingi za waliomo humu WANAWAKE wanavipato sawa au kuwazidi Wayne zao. Hii inapelekea u feminism wa hali ya juu katika mjadala huu.

• Wengi wa wanaume humu HAWANA kauli kwa wake zao ama ni kwa sababu ya UCHUMI wa mwanamke au status ya mwanamke aliojijengea nyumbani mwao.

• Wanaume wengi WANAMAUMIVU yao ambayo machozi ya maumivu hayo hudondokea tumboni. Wanatendewa ndivyo sivyo ma wenzi wao lakini HAWASEMI kwa hofu ya kuachwa ama kutengana!

• Wanawake wengi waliopitia na kuchangia uzi huu ni wanawake wa KIMJINI MJINI, maswala ya NDOA na NAFASI YA MWANAUME katika nyumba hawaithamini zaidi wanithamini pale gu Mumewe akiwa na UCHUMI imara.

• Mwisho ni dhahiri shahiri kwamba mbali na swala la SIASA NA DEMOKRASIA tuliofeli kama taifa, swala linalofatia kea kupata alama za juu kabisa tuliofeli kama taifa ni swala la FAMILIA na Mahusiano ndani ya Ndoa. Katika haya mawili tunatuzo ya NOBEL kwa kushindwa katika maeneo hayo.
True mkuu, maeneo haya yanaonekana ni most failure kwa taifa letu na kadri siku zinavyokwenda hali inazidi kuwa mbaya sana.
 
Back
Top Bottom