Shilole avishwa pete ya uchumba, ndoa ya tatu yanukia

Shilole avishwa pete ya uchumba, ndoa ya tatu yanukia

Ya tatu kwani ile na uchebe ilikuwa ya ngapi, halafu hivi hawa vijana wanawapaga nini baadhi ya wanawake hadi wanafikia hatua ya kuwalea, yani kuna vitu tunaweza kuona ni kawaida na ni mapenzi ila kumbe ni ukichaa kama ukichaa mwingine tu
Kulamba kinembe tu.
 
Hawa baadae wakishalambishwa lambishwa wakaachwa ndo wale wahubiri kataa ndoa, usioe single mother. Vijana wanafeli.
 
Msanii na mfanyabiashara maarufu, Zuwena Mohammed, anayefahamika kwa jina la kisanii Shilole, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake mpya usiku wa kuamkia leo, Desemba 23,2024

Tukio hilo lilifanyika katika hafla ya kifahari ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa katika eneo la Kijitonyama, Dar es Salaam.

Iwapo Shilole ataamua kufunga ndoa, hii itakuwa ndoa yake ya tatu, baada ya ndoa zake mbili za awali kuvunjika. Ndoa yake ya pili ilivunjika rasmi Juni 2024, takribani miezi sita iliyopita.

Hafla hiyo ilihudhuriwa na watu wa karibu, huku Shilole akionekana mwenye furaha tele, ishara kwamba amepata ukurasa mpya wa furaha maishani. Mashabiki wake wanatarajia mengi kutoka kwa msanii huyo, ambaye pia ni mmiliki wa migahawa maarufu ya Shishi Food.
View attachment 3183111
Halafu unakuta aliyeandika habari hii ni mwanaume.
 
Back
Top Bottom