Hivi unalijua Ganda la ndizi mkuuYa tatu kwani ile na uchebe ilikuwa ya ngapi, halafu hivi hawa vijana wanawapaga nini baadhi ya wanawake hadi wanafikia hatua ya kuwalea, yani kuna vitu tunaweza kuona ni kawaida na ni mapenzi ila kumbe ni ukichaa kama ukichaa mwingine tu
rotherKabisa kiuno kiwe chepesi
Anajiita Hadija Kopa wa Kijitonyama Iła wanatofautiana kwenye kula tu na kupenda vitoto vya 2000.Huyu mwanamke kila mwaka anaolewa
Mkuu wee acha tuu..Poor Brain imekuaje umekosa hii nafasi, hukuhudhuria kwenye interview au imekuaje mpaka mshangazi umeenda kwa mchizi mwingine??
Kwa sasa anapendelea vitoto vya 2005 mpaka 2010, anadai vina joto zaidi na hawajuwi kitu wao kazi kulała tu kifo cha mende na hawanaga usumbufu.Mwaka 2020 ilikua kidogo niichukue hii mali kabla yayule mpiga picha, kuna michezo alinileteaga hakuweza kuweka sawa mapema nikamtupa mazima. Anapenda sana vijana wadogo hata kama yupo kwenye ndoam
Huyu mtoto wa 2015 ana ubavu kweli, ategemee kushushuliwa siku analala mpaka saa tatu asubuhi baada ya kumchapa Shilole bao 5 za nguvu. Ataandikwa Insta na kutukanwa huku akichapwa na mkewe kuwa mwanamme mvivu hana lolote. Ajiandae tu kisaikolojia.Msanii na mfanyabiashara maarufu, Zuwena Mohammed, anayefahamika kwa jina la kisanii Shilole, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake mpya usiku wa kuamkia leo, Desemba 23,2024
Tukio hilo lilifanyika katika hafla ya kifahari ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa katika eneo la Kijitonyama, Dar es Salaam.
Iwapo Shilole ataamua kufunga ndoa, hii itakuwa ndoa yake ya tatu, baada ya ndoa zake mbili za awali kuvunjika. Ndoa yake ya pili ilivunjika rasmi Juni 2024, takribani miezi sita iliyopita.
Hafla hiyo ilihudhuriwa na watu wa karibu, huku Shilole akionekana mwenye furaha tele, ishara kwamba amepata ukurasa mpya wa furaha maishani. Mashabiki wake wanatarajia mengi kutoka kwa msanii huyo, ambaye pia ni mmiliki wa migahawa maarufu ya Shishi Food.
View attachment 3183111
MiaHivyo tuu b
rother
We dogo unanipenda sana kazi yako 😂😂Mkuu wee acha tuu..
Afuu ujue nini shilole nishawahi kumtongoza ila alisema kazi sitoiweza mkuu
Huyu Shilole ni kweli mkuu ujueWe dogo unanipenda sana kazi yako 😂😂
We fala tafuta daktari, mishangazi itakuua au nenda ulaya tu upate vibibiHuyu Shilole ni kweli mkuu ujue