Shilole hajui Kiingereza hata kidogo

Shilole hajui Kiingereza hata kidogo

Hata messi wakat anapokea tuzo hakuongea hyo lugha unayoisemea, aliongea lugha ya kwao.
 
Mnaosema kizungu ndio lugha gani labda mnataka kufanya hii topic iwe ndefu tu. Lakini mnajua fika mtu akisema kizungu ni kiingereza. Huwezi kusema, kifini, kipoland, sijui kidachi ni pia ni kizingu kwasababu hao watu wakija kwa waswahili wanaongea kiingereza pia na wala sio kirusia chao
 
dahgdgce.jpg
 
Na huyu Diva aongee kiingereza kwenye TV kwani watazamaji wa kipindi chake wanajua kiingereza?
 
Nimemsikiliza huyu mwanadada kwenye interview na Diva… Aisee nimejiuliza anapoendaga huko kwenye nchi za watu huwa anaenda na mkalimani au?

Kizungu kimemchanganya mpaka kaomba kwenda kulala. Na Diva nae anaboa sana ma misifa yake ya kupenda kuongea kizungu. Si aangalie anamuinterview mtu wa aina gani!!!

Jamani ukishakuwa msanii tena maarufu jitahid kujua na kakidhungu kidogo. Huoni hata baba Tiffer hawezi kukiimba lakini angalau kuongea anajitahidi.

Kwani lazima ajue kiigereza? mimi huwa sipendi mambo haya mimi huwa niki land home toka ughaibuni sitaki kabisa mtu aniongeleshe kiigilish cha nini sasa? ushamba tu ka
 
Kwani kujua kizungu ndio nini!? mbona messi hajui...!!!!
Huwezi kulinganisha mchezaji wa soka ambaye muajiri wake ni timu moja, na msanii ambaye waajiri wake ni wapenda sanaa sehemu mbalimbali duniani. Messi hata asipomfurahisha mpenda soka, atalipwa na Barca, lakini msanii asipomfurahisha mpenda sanaa wake, atalipwa na nani?
 
Shilole anajua kizungu, mbona nimewahi kumsikia akisema maneno haya? IN FACT........
 
Kwa background yake na alipofikia amejitahidi sana,aendelee kukaza buti zaidi kwani itamsaidia katika shughuli zake
 
em niendelee kuscroll labda nitapata point ya anachokiongelea mleta mada..
 
nili msikia kwenye alazaroho ya diva anajisifu ana vaa nguo za milioni mbili na nusu kwa wiki..
eti akiwa na show mpaka nguo za milioni tatu..
sifa ni mbaya sana
 
Back
Top Bottom