Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh... sinasikia SK alikuwa teacher?!!?Kwani akijue yeye mzungu.......ikiwa Salma kikwete alikuwa na mkalimani kwanini yeye iwe shida
Nimemsikiliza huyu mwanadada kwenye interview na Diva… Aisee nimejiuliza anapoendaga huko kwenye nchi za watu huwa anaenda na mkalimani au?
Kizungu kimemchanganya mpaka kaomba kwenda kulala. Na Diva nae anaboa sana ma misifa yake ya kupenda kuongea kizungu. Si aangalie anamuinterview mtu wa aina gani!!!
Jamani ukishakuwa msanii tena maarufu jitahid kujua na kakidhungu kidogo. Huoni hata baba Tiffer hawezi kukiimba lakini angalau kuongea anajitahidi.
Huwezi kulinganisha mchezaji wa soka ambaye muajiri wake ni timu moja, na msanii ambaye waajiri wake ni wapenda sanaa sehemu mbalimbali duniani. Messi hata asipomfurahisha mpenda soka, atalipwa na Barca, lakini msanii asipomfurahisha mpenda sanaa wake, atalipwa na nani?Kwani kujua kizungu ndio nini!? mbona messi hajui...!!!!
Punguza swagg mkuu..panapotakiwa kukaa H huweki pasipotakiwa ndo unaweka! Hasijue = asijueMi natamani hasijue tu hicho kingereza..Uwa naenjoy sana kusikiliza broken yake
mwalimu wa kiswahili au historia nafikiri ahahahaMmmmh... sinasikia SK alikuwa teacher?!!?
Mkuu kukosea nako ni swagga?...Punguza swagg mkuu..panapotakiwa kukaa H huweki pasipotakiwa ndo unaweka! Hasijue = asijue
Uwa = huwa
Mkuu unatoka nje ya mada kinachojadiliwa hapa ni kizunguKujua kiingereza na kutojua wewe haikuhusu
Umenena vyema mkuuKitendo cha kutokujua Kingereza ni uzalendo tosha