Shilole: Mimi ndiye mwanamuziki mrembo zaidi kwenye muziki

Ngoja Nuhu Mziwanda aje kutupa majibu wakiamka asubuhi huyu mama huwa anaonekana vipi
 
Anauzuri gani huyo..ta*****ko linambonde mabonde baya tangu nione video yake moja instagram anacheza duh ni aibu
Shilole hauna uzuri wowote njoo mikoani uone totoz
 
ni kweli anashawish kwa mbali kumpigia puli ofisini ngoja ntunze picha yake[emoji4] [emoji4]
 
Hivi kale kabinti kanakoendesha kipindi cha 5 select kana miaka mingapi!!!?
 


Ame expire tayari, yeye anafikiri uzuri ni kule kujichubua na kuota ndevu....Bongo kuna vitoto bwana, wacha kujipa ujiko wakati watu washakuchoka. Tuache tujipigie warembo sie hatutaki makombo ya bongo fleva na ustaa uchwara wao.
 
Jamani kwani mtu akijisifia mzuri ni ugomvi? Au ndo ule msemo subir usifiwe usijisifie
 



Mrembo???

Na ilo ndambi lake???
 
kwenye kipindi hicho Shilole alikimbia kabla ya muda baada ya wale watoto kumcheka alipomwita tbway beautiful wengi hawakulishtukia hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…