Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Yeah..Na wote mashauzi wanayajuaHawa waone kwenye TV na picha za kuedit mkuu, ukiwaona macho kwa macho utashangaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah..Na wote mashauzi wanayajuaHawa waone kwenye TV na picha za kuedit mkuu, ukiwaona macho kwa macho utashangaa.
Huyo hapo!ha ha
kachoka sana huyu bibi aiseee, bora hata kichwa maji wepa sepenga ni mzuri mzuri
dah,wallah watu huwa tunatokaga mbali sna aise...usipojiangalia vizuri unaweza kujikana kbs mbele ya kadamnasi,kweli nimeamini kuna mabadiliko ya tabia mwili pia na si tabia nchi pekee...nazani shishi nae kakumbwa na athari za mabadiliko ya tabia mwili.
Matumizi gani unamaanisha? Masogange analo la haja ila hata chumba cha kupanga hana anaishi instagramGigy ana tako zuri ila hajui kulitumia.
Bora hata Masogenge
ni kweli anashawish kwa mbali kumpigia puli ofisini ngoja ntunze picha yake[emoji4] [emoji4]![]()
Shilole amejigamba kwa kudai kuwa hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi.
Alikuwa akizungumza katika kipindi cha 5SELEKT cha EATV Jumanne hii.
“Mimi ni mwanamke mzuri without make up (bila vipodozi), unaweza ukaniamsha usingizini na nikaenda popote bila makeup, katika Bongofleva mimi ni mwanamke mzuri sana hamna anayebisha,” alisema Shilole.
Katika hatua nyingine Shilole amekanusha kutoka kimapenzi na msanii Nedy Music, baada ya kuzagaa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha wakiwa karibu zaidi na msahii huyo.
![]()

ha ha
kachoka sana huyu bibi aiseee, bora hata kichwa maji wepa sepenga ni mzuri mzuri
Frogi izi jampingi jampingi frogi, frogi izi baunsingi baunsingi frogi..... Its me Snura of DisastersNIMEONA VIDEO FLANI INSTA AMEANZA KUTOA MAKUNYANZI HANA LOLOTE HAYO MA MAKE UP UKIKUTANA NAYE ASUBUHI YUPO KM BI CHAUDERE
in ze kaburi nowFrogi izi jampingi jampingi frogi, frogi izi baunsingi baunsingi frogi..... Its me Snura of Disasters
mkuu sijui hapa nimuite nani atusaidie kale kadada kana umri gani!!!Hivi kale kabinti kanakoendesha kipindi cha 5 select kana miaka mingapi!!!?