Shilole: Mimi ndiye mwanamuziki mrembo zaidi kwenye muziki

Hivi Shilole ni mwanamuzika au comedian? Hivi kwanza anamashabiki kweli?
 
Ila ukiangalia ni kweli...sidhani kama kuna mzuri zaidi yake...sema ye wa pili wa kwanza ni Menina.
Lets be honest mana mademu wanaoimba ni kama vanesa mdee huyo ndo mbaya kama mdoli...lady jaydee....haika navy kenzo...linah etc sasa kwa wasanii kama hao shilole si ndo mzuri kuliko?
 
Shishi u mrembo na una beibi face.
Cc. Manfongo
 
Kaishatumika sana uso ushaanza kuzeeka ndio maana anavidanganya vitoto vitoto vyenye pupa na maisha
 
Watanzania aisee hovyo sana wanajadili uzuri wa MTU asubuhi asubuhi daah
 
sio kwa maziwa hayo
[emoji276]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…