M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Mzuri ajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kwa maziwa hayo![]()
Shilole amejigamba kwa kudai kuwa hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi.
Alikuwa akizungumza katika kipindi cha 5SELEKT cha EATV Jumanne hii.
“Mimi ni mwanamke mzuri without make up (bila vipodozi), unaweza ukaniamsha usingizini na nikaenda popote bila makeup, katika Bongofleva mimi ni mwanamke mzuri sana hamna anayebisha,” alisema Shilole.
Katika hatua nyingine Shilole amekanusha kutoka kimapenzi na msanii Nedy Music, baada ya kuzagaa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha wakiwa karibu zaidi na msahii huyo.
ila chura ipo!NIMEONA VIDEO FLANI INSTA AMEANZA KUTOA MAKUNYANZI HANA LOLOTE HAYO MA MAKE UP UKIKUTANA NAYE ASUBUHI YUPO KM BI CHAUDERE
Hahaha wewe unakula utumbo supu saaaanaila chura ipo!