Shilole na Nuhu Mziwanda hakuna "Ndoa"

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440

IMEGUNDULIKA kuwa uhusiano wa staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘ Shilole’ , na mpenziwe Nuh Mziwanda ni kazi bure kwani uwezekano wa kufunga ndoa kati yao haupo kutokana na kupishana imani. Ishu hiyo imejidhihirisha juzikati nyumbani kwa wawili hao Mwananyamala - Manjunju jijini Dar , baada ya paparazi wetu kuwaibukia na kutaka kujua malengo yao zaidi kama wana mpango wa kuoana au la, msikie kwanza

Nuh:

“Mimi ninampenda Shilole kwa asilimia 100 , ila siko tayari kubadili dini kwa ajili yake maana kwetu ni wakristo na hapa naongea mama yangu ni mzee wa kanisa hivyo Shilole naamini anaweza kubadili maana mimi tayari nimeshafanya mengi sana juu yake.

Msikie Shilole:

Mimi siwezi kubadili dini maana Nuh ndiye alisema atabadili hata hivyo familia yangu haiwezi kunikubalia kubadili dini kwa ajili ya kufunga ndoa kama amesema naye hawezi kubadili basi tutaishi tu maana hata ndoa ya serikali yenyewe hawezi na maisha siyo lazima tuoane . ”
 
Mpaka sasa mi sioni umuhimu wa ndoa ni anasa tu hakuna la maana
 
kazi kwao sasa........yetu macho na masikio....
 
Yaan Shilole kubwa hivyoo et mpaka ndugu waamue abadili dini,ye aseme kaona Nuhu hana mapene na hampendii ndio maana anajisemesha hivyoooo
 
Halaf Nuhu kisura kamzid mama mdogo wake hapo
Nuhu baba chora tattoo nyingine usonii labda atakubalii,akikataa we chora tatooo tu
 
Yaan Shilole kubwa hivyoo et mpaka ndugu waamue abadili dini,ye aseme kaona Nuhu hana mapene na hampendii ndio maana anajisemesha hivyoooo

hili ndi neno
ubadili dini kwa mariooo
am sory
 
Huyo dogo mengi gani anayosema kamfanyia Shilole maana maana mi naona kafunikwa kila kitu na shilole.
 
Mengi ni kujichora tatoo hhhhaaaa

Haahaha majigambo mengi niya kijinga maana hata inavyoonekana shilole ni maarufu zaidi na anaweza kutengeneza hela zaidi ya dogo.Aisee hawaendani ila mapenzi ndo hivo,kupigana dudu ukikolewa noma
 
Haahaha majigambo mengi niya kijinga maana hata inavyoonekana shilole ni maarufu zaidi na anaweza kutengeneza hela zaidi ya dogo.Aisee hawaendani ila mapenzi ndo hivo,kupigana dudu ukikolewa noma

Aongezee tattoo tu ndio dawaaa
 
Yaan Shilole kubwa hivyoo et mpaka ndugu waamue abadili dini,ye aseme kaona Nuhu hana mapene na hampendii ndio maana anajisemesha hivyoooo

Si anajua anaolewa na mwanaume ambay hana kitu, nani anataka shida mjini apa??
 
Halaf Nuhu kisura kamzid mama mdogo wake hapo
Nuhu baba chora tattoo nyingine usonii labda atakubalii,akikataa we chora tatooo tu

Achore tu, ye achore tu atakubaliwa kuoa
 
Huyo dogo mengi gani anayosema kamfanyia Shilole maana maana mi naona kafunikwa kila kitu na shilole.

Ana maanisha, kumnyonya papuchi na kumgonga nyuma na style zote kampa, zaidi ya apo sidhan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…