Shilole na Nuhu Mziwanda hakuna "Ndoa"

Shilole na Nuhu Mziwanda hakuna "Ndoa"

si ndo walivyo mshahara tonge full kujifanya wana mahaba ya nyukii
pumbavvvv

Yani sometimes huwa nakaonea huruma maana kamejijaza tattoo wakati dada mwenyewe dakika mbele nyuma.........
 
shilolee.png


IMEGUNDULIKA kuwa uhusiano wa staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘ Shilole’ , na mpenziwe Nuh Mziwanda ni kazi bure kwani uwezekano wa kufunga ndoa kati yao haupo kutokana na kupishana imani. Ishu hiyo imejidhihirisha juzikati nyumbani kwa wawili hao Mwananyamala - Manjunju jijini Dar , baada ya paparazi wetu kuwaibukia na kutaka kujua malengo yao zaidi kama wana mpango wa kuoana au la, msikie kwanza

Nuh:

“Mimi ninampenda Shilole kwa asilimia 100 , ila siko tayari kubadili dini kwa ajili yake maana kwetu ni wakristo na hapa naongea mama yangu ni mzee wa kanisa hivyo Shilole naamini anaweza kubadili maana mimi tayari nimeshafanya mengi sana juu yake.

Msikie Shilole:

Mimi siwezi kubadili dini maana Nuh ndiye alisema atabadili hata hivyo familia yangu haiwezi kunikubalia kubadili dini kwa ajili ya kufunga ndoa kama amesema naye hawezi kubadili basi tutaishi tu maana hata ndoa ya serikali yenyewe hawezi na maisha siyo lazima tuoane . ”

hahah wanatupiana mpira wafunge ya kiserikali
 
Nishapeleka kitambo, nimechukua screen capture nimemtumia whatsapp we jiandae tu akirud kipigo

Kuna baridii akinidunda usiku simpii nakesha jf hadi asubuhiiiiii
Aliekuambia umtumie nanii,yaan bina kweli unataka nami nihangaike na vibwana kama Nuhu sawaa tu! !!!
 
Kuna baridii akinidunda usiku simpii nakesha jf hadi asubuhiiiiii
Aliekuambia umtumie nanii,yaan bina kweli unataka nami nihangaike na vibwana kama Nuhu sawaa tu! !!!

Sasa ivi nataka akupe talaka tupige umbea vizur masaa 24
 
Back
Top Bottom