mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Wajinga sana nime amini kabisa hawa wanaweza kufanya mapenzi hadharani ili kutafuta kick..
Umenivunja mbavu kaka, nimeusikiliza kwa kweli mmmmhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajinga sana nime amini kabisa hawa wanaweza kufanya mapenzi hadharani ili kutafuta kick..
Kwakweli sipo interested na hii namna ya kuintroduce nyimbo/movie....technique imekaa kijinga
Mimi sitaki hata kuusikiliza kabisa...Umenivunja mbavu kaka, nimeusikiliza kwa kweli mmmmhh
Mimi sitaki hata kuusikiliza kabisa...
HahahaWakati bado tupo kwenye shamra shamra ile couple ya wendawazimu flani hivi amazing imeibuka kusikojulikana na kuanza kumwaga mchele kwenye kuku, koh koh koh majogoo na matetea wakaanza kudonoa kama hivi;
Shilole kaanza kwa kumwaga mboga, kumkashifu aliekua mwandani wake
"Mwanaume hata umfanyie nini haridhiki lol! Pamoja na kukubali shida zake zote lakin mh! Nimejitahid nimehangaika ila sasa kama gari limewaka'aka babu weeee, kanikuta na maisha yangu wacha niendelee na maisha yangu'Mimi na yeye baaaaaaasi #GaNdALaNdiZi ™@shilolekiuno"
Nuhu nae akaona isiwe tabu akamwaga ugali, na kachumbari;
"Mwanaume wa kweli ukaa kimya'sibishani na upumbavu'mwanamke asieridhika na kujua kua kathaminiwa mpaka tatoo kachorwa'na kuvumilia mambo yote alionifanyia ya kuniaibisha mbele ya mashabiki zangu'familia na'wasanii wenzangu na wadau'anaanza kunitukana mitandaoni for whaaaat!!! Mxeeeeew'mimi bado kijana na nna time ya kupata maisha yangu na mtu atakae thamini moyo wangu 'nawaachia wanaume wenzangu na nyie mjaribu zari 'mimi nacheka tu #AsHaNgeDerE ™@mziwandanation"
View attachment 269248

Eti nawaachia Wanaume Wenzangu.
Wagombanao ndio wapatanao, waliokutana mitandaoni wataachana mitandaoni, Kama walianza kwa siri kwanini waachane kwa kuanikana? Kweli dunia tambala bovu, nawatakia kila lakheri katika kutafuta maisha mapya ila wasiabishane maana walipendana wenyewe.
Nmecheka hiyo ganda la ndizi vs asha ngedere ha ha ha