Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
ndio watia nia wa chama gani hawa?
ccm....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio watia nia wa chama gani hawa?
Ni bora nikafia bafuni na sabuni. Nani anataka drama za kudhalilishana
Yani tutasikia hadi habari za muwa na rambo
Alikua anavutia watalii kwa kuonesha maliasili yakeRambo plus na ule mtindi aliouacha wazi kule Belgium. Hapana kwa kweli. Mia bado kijana
Haya wanaume kazi kwenu, j-lo wa igunga kakaribisha maombi
Hivi ganda la ndizi maana ake nini? Au mtelezo?Le Asha ngedere herself hahah. Kila nikikumbuka ganda la ndizi vs Asha ngedere nakufwaaaaa for them
Ndiyo ni mtelezo binamu, so nuhu ni marioHivi ganda la ndizi maana ake nini? Au mtelezo?
Ha ha ha ganda la ndizi na asha ngedere lol hawa watu vitukoNdiyo ni mtelezo binamu, so nuhu ni mario
Ha ha ha ganda la ndizi na asha ngedere lol hawa watu vituko
huo umarioo ndo kauona leo, ndo maana alikua anamzaba na vibao kumbe anamlisha lol
Itabidi aiedit hiyo tattoo iwe uaAah haha ganda la ndizi hadi likajichora tattoo jamani, ila bado asha ngedere kamtimua mwenzake hahaha
Teh I wish na hivyo viua vingekuwa na harufu ili vinyuki vimfate fate kumkumbushia tattoo ya asha ngedere wake lolItabidi aiedit hiyo tattoo iwe ua
Couple ya wendawazimu flani......hahahaha[emoji12] [emoji12]Wakati bado tupo kwenye shamra shamra ile couple ya wendawazimu flani hivi amazing imeibuka kusikojulikana na kuanza kumwaga mchele kwenye kuku, koh koh koh majogoo na matetea wakaanza kudonoa kama hivi;
Shilole kaanza kwa kumwaga mboga, kumkashifu aliekua mwandani wake
"Mwanaume hata umfanyie nini haridhiki lol! Pamoja na kukubali shida zake zote lakin mh! Nimejitahid nimehangaika ila sasa kama gari limewaka'aka babu weeee, kanikuta na maisha yangu wacha niendelee na maisha yangu'Mimi na yeye baaaaaaasi #GaNdALaNdiZi @shilolekiuno"
Nuhu nae akaona isiwe tabu akamwaga ugali, na kachumbari;
"Mwanaume wa kweli ukaa kimya'sibishani na upumbavu'mwanamke asieridhika na kujua kua kathaminiwa mpaka tatoo kachorwa'na kuvumilia mambo yote alionifanyia ya kuniaibisha mbele ya mashabiki zangu'familia na'wasanii wenzangu na wadau'anaanza kunitukana mitandaoni for whaaaat!!! Mxeeeeew'mimi bado kijana na nna time ya kupata maisha yangu na mtu atakae thamini moyo wangu 'nawaachia wanaume wenzangu na nyie mjaribu zari 'mimi nacheka tu #AsHaNgeDerE @mziwandanation"
View attachment 269248
Wajinga sana nime amini kabisa hawa wanaweza kufanya mapenzi hadharani ili kutafuta kick..Shilolekiuno
kaandika instagram kuwa wimbo wao mpya wapenzi hao upo pia uko youtube
mlisema lazima kuna kijacho.
nitaucheki soon
Shilolekiuno
kaandika instagram kuwa wimbo wao mpya wapenzi hao upo pia uko youtube
mlisema lazima kuna kijacho.
nitaucheki soon
Kwakweli sipo interested na hii namna ya kuintroduce nyimbo/movie....technique imekaa kijingaWajinga sana nime amini kabisa hawa wanaweza kufanya mapenzi hadharani ili kutafuta kick..
Uzuri watu wameupuuza hata wimbo wao..Kwakweli sipo interested na hii namna ya kuintroduce nyimbo/movie....technique imekaa kijinga