Shilole na Nuhu Mziwanda waanikana mtandaoni

Shilole na Nuhu Mziwanda waanikana mtandaoni

"Nuh anawivu sana ,akilijua kosa lake niko tayari kurudiana naye ila kwa sasa niko single nakaribisha maombi " hayo ndio maneno ya Shilole kwenda kwa Nuh na watanzania wote
 
Nuhu kavumilia mengi sana, dogo kachapiwa yule hadi na akina Madee ndio maana yamemshinda.
 
Haya wanaume kazi kwenu, j-lo wa igunga kakaribisha maombi
 
Back
Top Bottom