Shilole na Serengeti wake(Uchebe) Kimenuka

Shilole na Serengeti wake(Uchebe) Kimenuka

Ahadi walizokua wakipewa wanawake ikiwamo ndoa,maisha mazuri, umaarufu n.k ndizo ahadi wanazopewa wanaume siku hizi! Kweli zama zimebadilika acheni Mwanamke aitwe mwanamke kwa kweli lol

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani bado nnatafakari...

Magufuli afukuze wavulana hawa mjini...wawafukuzie maporini hukoo
 
Aache kulalamika dogo.. Kama ni kweli alikuwa na mke akamuacha kwa kuahidiwa mbingu, ajue huyo aliemuacha ndo anaestahili hiyo mbingu.. Alipe kwa aliyomfanyia mwenzie.. Bahati nzuri adhabu ya dhambi yake imeanzia hapa hapa duniani..

Idiot..
 
Aiseeeee ila si ushamgonga lakini.....sio mbaya kama ungemgonga kwa style ya kula samaki

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Yaani umarioo aujawahi kumwacha mtu salama
 
Huyo shilole yupo relationship pia na dogo mmoja mwenye miaka 20 mtaani kwetu,hata picha ninazo mwezi ulionao walienda kujitambulisha kwa wazazi wake huyo dogo
Duh😱😱
 
Sijaona mcha Mungu hapo......kumbe Shishi baby anagawa umaarufu na Good time?

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Eti alitegemea shishi baby amfanye awe maharufu hafu kachapia kasema maharufu kwel akili za kimanikia hizi

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
mtelezo nouma...ganda la ndizi hahahahaaaaa
 
Ahahaha!!!, imenibidi nicheke kwa kweli, jamaa analilia ndoa na maisha mazuri.....!!! Magufuri tulegezee kamba.

New broom sweeps well but old one knows every corner!!
 
Back
Top Bottom