Shilole na Serengeti wake(Uchebe) Kimenuka

Shilole na Serengeti wake(Uchebe) Kimenuka

VIJANA WA SIKU HIZI KAZI HAWATAKI KUFANYA NI WAVIVU KUPINDUKIA WANATAKA VYA BURE NDO HIVYO VIMEKUTOA ROHO hahahaaaaaaaaaaaaaaaa SAFI SANA SHOSTI SILOLE
 
Nimjuavyo Shishi sasa hivi anasema tu 'next'....alafu mwingine anajiingiza chaka, akitoka anaanza kulia hivi hivi.
 
Ujinga na tamaa zake si ndio zilimfanya atoke alipokuwa mwanzo amfuate huyo k...b. sasa anacholialia ni nini
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maisha marahisi lakini watu wana complicate, ndio akome.
 

Attachments

  • Screenshot_20170906-165257.png
    Screenshot_20170906-165257.png
    103.3 KB · Views: 50
Ha ha ha aha haa ha ha ha ha ha ha Idris Sultan huyu hapa aliyekuwa anabeba mabeg ya mwanamke (Umariooo)............... kweli Shish sio wa sport sport..................................... hela utafute na mboo uitafute pia haya weee..............

ila mbona kakaaa na huyo gube gube SHISHI wala hajatakata au maji hayakuwa mengi?

mimi nina popcorn zangu hapa sina shida mie
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Maskini Kijana wa Watu alikuwa Swala Tano, saizi kavutishwa mibange na gambe kwa mbele...ama kweli shishi trump so wa mchezo mchezo
 
kijana atafute kazi,kama hawezi aje tulime,kulia kulia hivyo,watu watamla 0712
 
Back
Top Bottom