Yaani bado nnatafakari...Ahadi walizokua wakipewa wanawake ikiwamo ndoa,maisha mazuri, umaarufu n.k ndizo ahadi wanazopewa wanaume siku hizi! Kweli zama zimebadilika acheni Mwanamke aitwe mwanamke kwa kweli lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahadi walizokua wakipewa wanawake ikiwamo ndoa,maisha mazuri, umaarufu n.k ndizo ahadi wanazopewa wanaume siku hizi! Kweli zama zimebadilika acheni Mwanamke aitwe mwanamke kwa kweli lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha ha hawa vijana wanashida Sana huko kichwani sio bure.Hii ni picha waliyopiga kipindi mapenzi ni moto
View attachment 582597
Kama Ilivyo kawaida Wabongo tupe title habar tutajaza wenyewe. Kwa caption hizi za Uchebe mambo yanaonekana sio mazur Yeye na Shishi baby. View attachment 582600 View attachment 582601 View attachment 582602
Mahusiano sio poa kabsa muda mwingineHii ni picha waliyopiga kipindi mapenzi ni moto
View attachment 582597
Kama Ilivyo kawaida Wabongo tupe title habar tutajaza wenyewe. Kwa caption hizi za Uchebe mambo yanaonekana sio mazur Yeye na Shishi baby. View attachment 582600 View attachment 582601 View attachment 582602
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama kimenuka kipulizie marashi