ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Huwa najiulizs..hivi Shishi na Wema... K zao zina nini!??Nimjuavyo Shishi sasa hivi anasema tu 'next'....alafu mwingine anajiingiza chaka, akitoka anaanza kulia hivi hivi.
Hii ni picha waliyopiga kipindi mapenzi ni moto
View attachment 582597
Kama Ilivyo kawaida Wabongo tupe title habar tutajaza wenyewe. Kwa caption hizi za Uchebe mambo yanaonekana sio mazur Yeye na Shishi baby. View attachment 582600 View attachment 582601 View attachment 582602