Tetesi: Shilole na Uchebe Watatakiwa kuripoti polisi, wana kesi ya kujibu " Shambulio la kudhuru mwili"

Tetesi: Shilole na Uchebe Watatakiwa kuripoti polisi, wana kesi ya kujibu " Shambulio la kudhuru mwili"

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Kuna watu watauliza; Je; mlalamikaji Ni Nani?
Kesi inayohusu "Public interest" Inayoonesha Kuna uharifu ambao unaweza kutafsiriwa tofauti na jamii lazima Jeshi la polisi lifanye kazi yake!

Maelezo ya Shilole Ni kielelezo namba moja Cha shambulio la kudhuru mwili ambayo yanaashilia uvunjifu wa amani!
Hivyo Jeshi la polisi litahakikisha linawahoji wapenzi hao na kuwafungulia mashitaka endapo watabainika kuwa na hatia!
 
Nlijua tu hii itatokea Kuna watu fulani na mawaziri walishaanza kusemea tukio hili, Na huyo uchebe akifanya masihara anaweza kuwekwa lockup
Na kwa tukio lilivyo huyu mwanamke anaweza kumkomoa jamaa
Mambo mengine hayataki utatuz wa hasira

Ova
 
Shilole aliendana sana na Nuh mziwanda pepo likaingilia kati
 
Nlijua tu hii itatokea Kuna watu fulani na mawaziri walishaanza kusemea tukio hili, Na huyo uchebe akifanya masihara anaweza kuwekwa lockup
Na kwa tukio lilivyo huyu mwanamke anaweza kumkomoa jamaa
Mambo mengine hayataki utatuz wa hasira

Ova
Nini kimetokea Mkuu
 
"..ivi walipokuwa wakila tunda kimasihara, je kuna mmojawapo alikuja utangazia umma ladha ya tunda?..."

Mwanaume ishi na mwanamke kwa akili, ........ usijione wwe ndo wewe tuuuu
 
Back
Top Bottom