Tetesi: Shilole na Uchebe Watatakiwa kuripoti polisi, wana kesi ya kujibu " Shambulio la kudhuru mwili"

Tetesi: Shilole na Uchebe Watatakiwa kuripoti polisi, wana kesi ya kujibu " Shambulio la kudhuru mwili"

"..ivi walipokuwa wakila tunda kimasihara, je kuna mmojawapo alikuja utangazia umma ladha ya tunda?..."

Mwanaume ishi na mwanamke kwa akili, ........ usijione wwe ndo wewe tuuuu
kula tunda kwa wanandoa siyo shambulio la kudhuru
 
Watu Wa Nongwa Watawasindikiza Na Matarumbeta
Tunangoja Wakimaliza Yote Hayo Warudiane
Waanze Kula Tunda Kimasihara
Mwenye Kupenda Haoni Chongo Atasema Kengeza!!😀😍😅😄😃🤣🤣
 
Habari ndio hiyo
FB_IMG_1594267727856.jpg
 
Kuna watu watauliza; Je; mlalamikaji Ni Nani?
Kesi inayohusu "Public interest" Inayoonesha Kuna uharifu ambao unaweza kutafsiriwa tofauti na jamii lazima Jeshi la polisi lifanye kazi yake!

Maelezo ya Shilole Ni kielelezo namba moja Cha shambulio la kudhuru mwili ambayo yanaashilia uvunjifu wa amani!
Hivyo Jeshi la polisi litahakikisha linawahoji wapenzi hao na kuwafungulia mashitaka endapo watabainika kuwa na hatia!

Polisi wa tanzania hawaelewi wanafanyaje kazi. Kuna mambo makubwa ya watu kupigwa kushambuliwa tena viongozi wa upinzani utasikia hakuna mlalamikaji mara hatufanyi kazi kwa taarifa za mtandaoni.

Wonders shall never end.

Sema Uchebe kambetua haswa shilole asiponyea ndoo term hii basi ana bahati nadhani mke wa zamani wa uchebe aliyeachwa atakuwa anachekelea
 
Taarifa za chini chini ni kwamba shilole hajalala home siku mbili na anaulizwa anajibu jeuri ,jamaa akamgusa gusa tuu Wala hajampiga kivile,,,,
Ningekuwa Mimi saizi angekuwa kwenye friji ujinga sipendagi mie😣😣😣😣😣
 
kwani talaka hazipo
 
Polisi wa tanzania hawaelewi wanafanyaje kazi. Kuna mambo makubwa ya watu kupigwa kushambuliwa tena viongozi wa upinzani utasikia hakuna mlalamikaji mara hatufanyi kazi kwa taarifa za mtandaoni.
Wonders shall never end.
Sema Uchebe kambetua haswa shilole asiponyea ndoo term hii basi ana bahati nadhani mke wa zamani wa uchebe aliyeachwa atakuwa anachekelea
Kuna mtu alimshambulia mzee flani kwa kumpiga sijui ile kesi kwanini ilipotelea hewani !!!
Na kuna mwingine alimpiga jamaa flani na fimbo kichwani lakini kesi zilipotea tu.
 
Wanaume tuacheni unafiki tuwe tunakemea na wengine wanaobutuliwa huku mitaani, kwakua huyu kabutuliwa na ni mtu maarufu tunajidai kutia huruma sana lakini mtaani kwako kuna jirani yako anakula kichapo kila siku uko kimya tu.
 
Lakini uchebe anasema hizo picha Ni za zamani Sana kabla ya kufunga ndoa na shishi so yeye mwenyewe anashanga
Okay hata zikiwa ni za zamani bado Uchebe hakuwa na mandate ya kufanya hicho alichofanyaga.
Kumbuka Jinai huwa haina ku expire.
Ajiadae vizuri tu kupambana na askari waliobobea kwenye maswala ya Jinsia otherwise atapata taabu sana
 
Kuna watu watauliza; Je; mlalamikaji Ni Nani?
Kesi inayohusu "Public interest" Inayoonesha Kuna uharifu ambao unaweza kutafsiriwa tofauti na jamii lazima Jeshi la polisi lifanye kazi yake!

Maelezo ya Shilole Ni kielelezo namba moja Cha shambulio la kudhuru mwili ambayo yanaashilia uvunjifu wa amani!
Hivyo Jeshi la polisi litahakikisha linawahoji wapenzi hao na kuwafungulia mashitaka endapo watabainika kuwa na hatia!
Na ikibainika shithole hana majeraha na alikuwa anatafuta kiki mitandaoni itakuwaje?

Jr[emoji769]
 
Ndio kina nani hao huko daslamu naona tangu jana mnawazungumzia wao tu.
 
Mapigo ya mziwanda yamemrudia,, lakin uyu si ndie jikeshupa mbabe
 
Back
Top Bottom