Tetesi: Shilole na Uchebe Watatakiwa kuripoti polisi, wana kesi ya kujibu " Shambulio la kudhuru mwili"

Tetesi: Shilole na Uchebe Watatakiwa kuripoti polisi, wana kesi ya kujibu " Shambulio la kudhuru mwili"

Okay hata zikiwa ni za zamani bado Uchebe hakuwa na mandate ya kufanya hicho alichofanyaga.
Kumbuka Jinai huwa haina ku expire.
Ajiadae vizuri tu kupambana na askari waliobobea kwenye maswala ya Jinsia otherwise atapata taabu sana
Nafkiri utakuwepo hapa hapa wakati shishi anatangaza kurudiana na uchebe. Siku zote ndoa Ni ya wawili tu.

Anahaki au hana haki, yote anayajua shilole.
 
We jiulize Kama kapigwa zamani sana, kwanini aziweke hizo picha Sasa hivi, na kwanini hataji chanzo Cha kupigwa

Pia nimeskia baba Levo akisema kwamba alitumiwa zile picha na shilole mwenyewe, usiku wa Jana akimueleza kupigwa na Kuna watu maarufu wengine wanadai shilole aliwatumia hizo picha directly baada tu ya kupigwa.

Sasa hapa unaweza ukachanganya ubongo utaelewa kwamba shilole alitaka kuwa win watu kwa manufaa Fulani anayojua yeye kazungumzia kupigwa ALIKOPIGWA JUZI.
Mimi sipingi kwamba shilole hajapigwa na uchebe Ila Kama kapigwa kweli alitakiwa kuzungumzia kipigo Cha juzi na siyo kufukua makabuli ya zamani.
 
Screenshot_20200709-120932.jpg
 
kwani talaka hazipo
Mkuu swali hili huwa ni la kipuuzi sana, unajua wazi kama mtu hawezi kutulia na mwanaume asihitaji ndoa, maana huwezi ukaliwa huko nje then uje useme nipe taraka Kama nimeliwa! Walahi utajikuta kwenye friji
 
Mkuu swali hili huwa ni la kipuuzi sana, unajua wazi kama mtu hawezi kutulia na mwanaume asihitaji ndoa, maana huwezi ukaliwa huko nje then uje useme nipe taraka Kama nimeliwa! Walahi utajikuta kwenye friji
hahahahah
 
Kuna watu watauliza; Je; mlalamikaji Ni Nani?
Kesi inayohusu "Public interest" Inayoonesha Kuna uharifu ambao unaweza kutafsiriwa tofauti na jamii lazima Jeshi la polisi lifanye kazi yake!

Maelezo ya Shilole Ni kielelezo namba moja Cha shambulio la kudhuru mwili ambayo yanaashilia uvunjifu wa amani!
Hivyo Jeshi la polisi litahakikisha linawahoji wapenzi hao na kuwafungulia mashitaka endapo watabainika kuwa na hatia!
Hakuna kitu hapo.
Mlalamikaji ni nani?
Kuna PF3 ya ushahidi?

Pengine sanasana kosa la kimtandao kupost kitu kisichokuwa na ushahidi.
 
Back
Top Bottom