The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Nafkiri utakuwepo hapa hapa wakati shishi anatangaza kurudiana na uchebe. Siku zote ndoa Ni ya wawili tu.Okay hata zikiwa ni za zamani bado Uchebe hakuwa na mandate ya kufanya hicho alichofanyaga.
Kumbuka Jinai huwa haina ku expire.
Ajiadae vizuri tu kupambana na askari waliobobea kwenye maswala ya Jinsia otherwise atapata taabu sana
Wenye pesa hupiga zaidi ya hapa, usiwadanganye. Tofauti Tu, kipigo cha mwenye pesa kinavumilikaWanawake msiwe mnachukua wanaume marioo ili tu uolewe, ndiyo sababu mnakula fimbo hivi
😀😀😀😀Wenye pesa hupiga zaidi ya hapa, usiwadanganye. Tofauti Tu, kipigo cha mwenye pesa kinavumilika
Mkuu swali hili huwa ni la kipuuzi sana, unajua wazi kama mtu hawezi kutulia na mwanaume asihitaji ndoa, maana huwezi ukaliwa huko nje then uje useme nipe taraka Kama nimeliwa! Walahi utajikuta kwenye frijikwani talaka hazipo
hahahahahMkuu swali hili huwa ni la kipuuzi sana, unajua wazi kama mtu hawezi kutulia na mwanaume asihitaji ndoa, maana huwezi ukaliwa huko nje then uje useme nipe taraka Kama nimeliwa! Walahi utajikuta kwenye friji
Na ikibainika shithole hana majeraha na alikuwa anatafuta kiki mitandaoni itakuwaje?
Jr[emoji769]
Izo Kiki zitawatokea puaniLakini uchebe anasema hizo picha Ni za zamani Sana kabla ya kufunga ndoa na shishi so yeye mwenyewe anashanga
Hakuna kitu hapo.Kuna watu watauliza; Je; mlalamikaji Ni Nani?
Kesi inayohusu "Public interest" Inayoonesha Kuna uharifu ambao unaweza kutafsiriwa tofauti na jamii lazima Jeshi la polisi lifanye kazi yake!
Maelezo ya Shilole Ni kielelezo namba moja Cha shambulio la kudhuru mwili ambayo yanaashilia uvunjifu wa amani!
Hivyo Jeshi la polisi litahakikisha linawahoji wapenzi hao na kuwafungulia mashitaka endapo watabainika kuwa na hatia!