Shilole ni mnafiki sana

Shilole ni mnafiki sana

Kama itakupendeza n kwa heshima ya Dada na Mama zetu waliopo humu naomba hiyo picha ambayo inaonyesha maziwa yake uiondoe mkuu
Kipi cha ajabu! mbona kwenye madaladala yapo mengi tu wananyonyesha, na wenyewe huyaacha hadharani kwa kuvaa sidiria za ku-boost?
Au unataka ushobokewe na mademu humu!
 
Dah,picha zingine bhana zinaharibiana siku ila kweli zama zimebadilika mtu wa hivi kaolewa af wanaovaa kiheshima mtaani ndo wamekua madungaembe wanaosaka ndoa bila mafanikio
 
Back
Top Bottom