Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Msitiri mkuu
Jinsia ya mtoa mada tafadhali ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinsia ya mtoa mada tafadhali ?
Alinyimwa ukoko wali na maharageAlikunyima ubwabwa au nini
Soma vizuri nilichokiandika bila kuruka.Ayee... Hizo picha zina uhusiano na story kweli?
Kama itakupendeza n kwa heshima ya Dada na Mama zetu waliopo humu naomba hiyo picha ambayo inaonyesha maziwa yake uiondoe mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211]Aiondo afu akuwekee wewe kifuani au...
Iyo picha ipiKama itakupendeza n kwa heshima ya Dada na Mama zetu waliopo humu naomba hiyo picha ambayo inaonyesha maziwa yake uiondoe mkuu
Ombi lako limesikika.Kama itakupendeza n kwa heshima ya Dada na Mama zetu waliopo humu naomba hiyo picha ambayo inaonyesha maziwa yake uiondoe mkuu
ImeshaondolewaIyo picha ipi
Tumeshaisevu
Unapata faida gani unapopost picha ya mtu kama hivyo? Let's say shilole ni dada yako ungeona ni sawa?
La pili kila mtu ana haki yake, kama ww unaona yuko kwa konde ww nenda kwa wcb si kila mtu na aina ya maisha aliyochagua
Hy ni mke wa mtu now ebu tupotezee
Ukishakua maarufu kua mpole... hayo kwani alisingiziwa si kafanya willingly...
Internet haisahau kamwe
Hilo la kunuka ninakuunga mkono 100% , ana harufu kali mno na nilitaka kulianzishia uzi nikahofia kupewa ban.Shilole ananuka vibaya mmmmnhhhhh... mchafu kabisa[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36] acheni mengine tusiseme
Kiumeni hayupo kikeni hayupo..if you know what I’m sayingJinsia ya mtoa mada tafadhali ?