Shilole: Nimekoma na ningejua hata nisingejichubua

Naomba kujua ingredients zilizotumika kwenye hii products km inawezekana mkuu

Kuanzia hapo ndo tutajua km haina madhara mwilini
 
Pole sana.....
Mtoto wa kike unapaswa kwenda na wakati bhana.
Mbona kichwani unachoma nywele na kushonea mawiving.
Mbona unavaa suruali kama wazungu kwanini usipende kuwa mweupe wewe??????

Mmmhhh
Kwahyo kujichubua ni kwenda na wakati?
 
Pole sana.....
Mtoto wa kike unapaswa kwenda na wakati bhana.
Mbona kichwani unachoma nywele na kushonea mawiving.
Mbona unavaa suruali kama wazungu kwanini usipende kuwa mweupe wewe??????

Kaka angu ushawahi kuniona au?? Hivi kumbe kujichubua ndo kwenda na wakati?? Basi I'm still old fashioned and am not ready to catch up with the bleaching fashion. Nimuige mzungu kuwa mweupe, yeye lini aliniiga kuwa mweusi??
 
hayo ma dodo nini mbona ndio nayasikia leo na kuna mdamu ameelezea bei zake je nazo ni za kujikoboa?

kama ni za kujikoboa naomba muache si poa.
 
Stand up inorder to be counted madame!!!!!
 
With huu ushamba wangu, am still counted sir. I'm comfortable and confident with myself.

Heaven Sent,,,,
Usipende kubisha kila kitu bhana.
Tupo kwenye ulimwengu ambao every thing is uncertain.
 
Heaven Sent,,,,
Usipende kubisha kila kitu bhana.
Tupo kwenye ulimwengu ambao every thing is uncertain.

Sijabisha, am just talking from what I have been experiencing. People differ in tastes and preferences, u like bleached women and others are dying for black women. So am proudly black, and my market is expanding day after day, despite of the existance of bleached women (koh koh koh koh). Its ur choice, settle for whatever pleases and attracts u.
 
Akome na kubandika kope..ukitaka uzuri sharti udhurike walisema wahenga
 
sijichubui,mweusi najisikia amani.nikimkuta mwanamke kajichuna namwangaliajee!!

Unamwangalia kwa namna gani?????
Unamwonea wivu au huruma????

Ujue weusi nao ukizidi noma sana unamfanya mtu asiwe na mvuto hata kidogo.

Just go for the dodo package mambo yatakua pooooooaaaa!!!

Humuoni Wema Sepetu,Snura Mushi,Johari,Mainda Suka & Jennifer Kyaka(Odama) bila kimsahau Jacqline Wolper,Frolah Mvungi et al....
Stand out inorder to be counted Zamda!!!!
 
We shindwaaa. Hata kama ningekuwa cheusi kama Lupita, sitojichubua ng'oo. Hao wapaka mikorogo yako wanakuwaa counted na nani?? Na kimewasaidia nini kwenye maisha yao?
Weusi hatuvutiiii?? Wewe sema unapenda wanawake wajinga wajinga wasiojitambua, ndo hao full kujichubua. Huwasikii wanavyolia lia oooh mie mkorogo umenitenda hovyooooo wakome. Hivi Aunty, kajala, nancy sumari, faraja kotta hawana mvuto eeh?
Wewe kama unapenda waliojichubua wapende tu, kuna wenzio wakiona tu black girls ooooooops no comment. Wewe wadanganye tu wenzako, hiyo mingozi daily inawazingua, au una hela ya kuwapeleka china kutengeneza ngozi zao kama clement??
 
Hapo sasa watu watakua pinksh...
 
Namwonea macho,ila nahisi huruma kwake.nijichune nimvutie nani??mi najipenda mwenyewe sitegemei kupendwa kama ninavyojipenda mwenyewe, Amanijua hujanishawishi bado.
 
Huyu Amanijua nahisi ndo biashara yake ya dodo mjini.
 
Namwonea macho,ila nahisi huruma kwake.nijichune nimvutie nani??mi najipenda mwenyewe sitegemei kupendwa kama ninavyojipenda mwenyewe, Amanijua hujanishawishi bado.

Hahaha zamda Geuke naona wanafunzi tumegoma kuelewa somo. Afu Amanijua prove me wrong, nahisi una ubia na hizi dodo coz unazitetea mno na hadi package nzima ya dodo unaijua tena hadi kwa bei mmmmmh, usidanganye dada zako bana. Wafundishe kujiamini.
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde hivi dodo haina madhara km carolaiti? Naomb unisaidie utaalam kdg nataka nijaribu

Mweee
Nilichokiona fb.. wanasem ina dodoa au inadodolize.

Nilivyoelewa sio nzuri, unapendeza mwanzoni badae kasheshe. Dont try it
 
Job kweli kweli

And it seems wewe uko kazini best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…