Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Hakuna kitu kama hicho bidada.
Waliotengeneza ile picha iliyokua inatumwa whatsapp ni kampuni ya Angels ya huko huko DRC ambayo ni wapinzani wakubwa na wazalishaji wa Dodo.
Ukitaka dodo ikukubali zaidi uwe na bajeti ya Elfu 60 ukienda dukani;
1.Mafuta-15,000/=
2.Sabuni-6,000/=
3.Maji yake(glyverline)-10,000/= mpya.
4.Dodo handcreme-7500/=
5.Dodo face & body scub-12,000/=
6.Dodo skin treatment-9,500/=.
Naomba kujua ingredients zilizotumika kwenye hii products km inawezekana mkuu
Kuanzia hapo ndo tutajua km haina madhara mwilini