Shilole: Nimekoma na ningejua hata nisingejichubua

Hahaha zamda Geuke naona wanafunzi tumegoma kuelewa somo. Afu Amanijua prove me wrong, nahisi una ubia na hizi dodo coz unazitetea mno na hadi package nzima ya dodo unaijua tena hadi kwa bei mmmmmh, usidanganye dada zako bana. Wafundishe kujiamini.

Haa huyu wakala wa dodo yuko kazini,nilishuhudia zinachomwa moto na watu wa tfda,loh nani anunue kansa usawa huu.
 
Last edited by a moderator:
mme,muona maimartha? du huwez mkumbuka kama ulimuona enzi zile ana bonge la shepu!!
 
Wakuu huyu msanii anaitwa shilole sijui kumbe kajikaanga ngozi kuna kipindi anahojiwa channel 10 sasa rangi ya kwenye mikono hususani vidoleni ni vyeusi tiii tofauti na usoniii
 
Wakuu huyu msanii anaitwa shilole sijui kumbe kajikaanga ngozi kuna kipindi anahojiwa channel 10 sasa rangi ya kwenye mikono hususani vidoleni ni vyeusi tiii tofauti na usoniii

Hilo chongo Nuhu kwake ni kengeza.
 
Uwandishii wako wenyewe unautata, Mara sijui oooh kumbee, sasa tukuelewe vipi?? Wakati mwingine jaribu kutuwekea na picha ili tupate kufuta wasiwasi wetu, usikute ni chuki binafsii.
 
Wa Dada wa mjini pesawengi pesa zao wanatumia Kuchubua mwili weusi hawautaki kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa..
 
Weupe ndo maradhi yangu but uwe wa asili sio hiyo rangi mbili .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…